PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Jana ulianzisha thread yako kuhusu chadema kupoteza mvuto kigoma,nilivyokublast leo umekimbilia mkutano wa A town.

Unaanzisha pumba unashindwa kuzitetea. We ni hovyo! Picha za mkutano unaziona? Zinaashiria nini? Unafkiri ni magamba wanaoenda kwenye vituo vya mafuta kupewa mafuta bure na kusomba watu kutoka kijijin?

Peoples power itakutesa sana. Wewe ni zao la nsanzu,kaburu nk

mkuu kumbe umeanza naye mbali,jamaa kachelewa sana
 
Wana jf leo mbele ya umati mkubwa wa watu kuna wanaccm kadhaa wamekabidhi kadi za kijani kwa kamanda na mpigaganaji Mbowe akiwepo jamaa mmoja jina nimelisahau waliokuwepo watanisaidia kulitaja hilo jina ambaye alisema yeye yeye ni kamanda Wa UVCCM Arusha kweli leo Arusha ilikuwa patashika mji ulitekwa na chadema.
 
nilifikiri kuna cha maana walicho ongea kumbe pumba tupuuuuuuuuuuuuuuuuu8uuuuuu

nilifikiri kuna chama maana walicho present kumbe ni vapour
huwa napata raha mnapopata pressure ,chadema itakuzika mwaka huu, endelea kutumia makalio
 
Mmmh, where is Pasco and Ngongo!! Wale waliosema CHADEMA wamefanya kosa kubwa kufukuza wale madiwani wapo wapi? Nadhani tumepata ushahidi kwamba Arusha hapendwi mtu ila chama. Watu wameichoka CCM kwa kumaanisha.
 
Sikubahatika kwenda bt nimeambiwa mkutano umetisha! Hakukuwa hata ulinzi. Nalisema hili kwani siri kali wamezoea kusema kuwa CDM wana fujo. C kweli kuwa CDM wana fujo ila ni njama za kuzuia ukweli ucwekwe hadharani. Bt tutafika tu! Kuna cku na cku yenyewd haipo mbali.
 
ahsante sana. Sasa wacha niende nikale maana nimesubiri picha kwa muda mrefu na vyombo vya habari visingetangaza
 
Viva chadema -chama cha ukombozi -chama kinachosimamia haki mpaka kieleweke sasa tuone huyo diwan atakimbilia wapi mnafiki mkubwa. Watu hawewezi kufa halafu unasema unaingia muafaka wakati hata polisi walioua hatujui wako wapi, lazima tuwe makini na mambo haya sio kukurupuka -safi saana chadema mnatisha kwa saana.
 
asanteni sana wana arusha,asante sana komando kwan hints ulizotoa,asante mdau kwa picha umetupa hali halisi,nilikua nacheki TBC1 nikidhani wangeonyesha kwenye habari mkutano wa cdm arusha lakini mpaka sasa bilabila.itakua wamepigwa mkwara na magambaz
 
Mimi nilikuwepo ilikuwa ni balaa sikutegemea watu kuwa wengi hivo halafu kuna kamanda Wa UVCCM kamkabidhi Mbowe kadi ya kijani jina tu nimelisahau
 
Chadema hoyeeeee!! Magamba hawatoki mwaka huu, na 2015 lazima tuwapeleke machinjioni
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hongera sana wana A town kwa mwamko mlouomesha leo na hii ni dalili kua CDM si mahali pa wala rushwa au sehem ya kubembelezana na wahuni wachache ndani ya Chama
 
Sishangai kuona huo umati, kwa miaka kumi mmekuwa mkikusanya idadi kubwa ya watu kwenye mikutano yenu!
Watu wanapenda tu kuja kusikia pumba zenu! Hawakubaliani na mnachoongea, ndio maana kila uchaguzi mnagaragazwa vibaya na CCM.
 
Back
Top Bottom