PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Looh! mbona vitoto vya shule vilivyojaa hapo; ambavyo havina hata shahada ya kupigia kura!
 
Sasa ndio umuhimu wa CHADEMA kuwa na chombo chake cha habari kama TV unaonekana. Imagine haya yangepata coverage ya TV na watu kilamahali wakayaona ukombozi ungepatikana kesho yake tuu
 
nilifikiri kuna cha maana walicho ongea kumbe pumba tupuuuuuuuuuuuuuuuuu8uuuuuu

nilifikiri kuna chama maana walicho present kumbe ni vapour
 
Chadema noma magamba yashuhudie maandalizi ya kuchukua nchi 2015 au kabla kama uongozi utawashinda magamba.
 
Asante mpiga picha japo nipo gizani nimefarijika sana
 
Viva forever CHADEMA, Freedom is coming!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tunashukuru kwa kutujuza, Hongereni wana Arusha hongrerni Chadema
 
Mhe.Lema hahitaji kusifiwa na Mama kiroboto an naibu Spika, yeye akiisha sifiwa na mkewe basi inatosha!!! Nimeipenda sana hiyo Kamanda
 
Aibu aibu aibu, mmefulia mpaka mnachakachua picha...... Aibu kubwa...sasa ngoja tuwaumbue soon naleta hali ilivyokua kwa ukweli, tafuteni pa kuficha sura zenu
 
nilifikiri kuna cha maana walicho ongea kumbe pumba tupuuuuuuuuuuuuuuuuu8uuuuuu
Jana ulianzisha thread yako kuhusu chadema kupoteza mvuto kigoma,nilivyokublast leo umekimbilia mkutano wa A town.

Unaanzisha pumba unashindwa kuzitetea. We ni hovyo! Picha za mkutano unaziona? Zinaashiria nini? Unafkiri ni magamba wanaoenda kwenye vituo vya mafuta kupewa mafuta bure na kusomba watu kutoka kijijin?

Peoples power itakutesa sana. Wewe ni zao la nsanzu,kaburu nk
 
Safi sana, nawatakia wana CDM wote amani. Mapambano ndio yanaanza. Madiwani wasaliti poleni sana, tuliwabembeleza sana mkajiona mpo juu ya chama. Wananchi ndio wenye dhamana na uongozi viongozi ni watumishi tu. CDM imetoa nini maana ya utawala wa sheria, uadilifu na nidhamu ya kweli sio ya woga.

Arusha ni ya CDM na CDM ni ya Arusha daima
 
Pinda na yule mama sijui watajisikiaje wakiona nguvu ya umma ilivojitokeza.

Peoplez powerr....
 
WAKUU KWA KIFUPI WAMEWACHANA WAKINA MKUU WA KAYA NA MTOTO WA MKULIMA

1. imewekwa CD ya yule diwani aliye fukuzwa alipo kuwa akiwasiliana na polisi ili awape hongo polisi wazuie mikutano ya chadema jijini A town.

2. DR KAWACHANA WAZIRI MKUU KWAMBA NI MUONGO SANA NA ANAO WALAKA KAMA KAWAIDA WAKUTOKA KWA IGP KWENDA KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA YOTE WAKIAGIZWA WAWAOMBE PILISI RADHI NA WAWATULIZE POLISI KWA KITENDO CHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KUDANGANYA TAIFA KWAMBA POLISI WANALIPWA POSHO YA 150,000 KUMBE UKWELI NI 100000.

3. Dr AMEDAI KUNA BAADHI YA POLISI WAMEANZA KUKAMATWA KWA KUDAI POSHO YA 150,000 KAMA ILIVYO TANGAZWA BUNGENI

4. KAMANDA MBOWE NAYE KAMCHANA PINDA KWAMBA ANAONGOZA KWA KUDANGANYA BUNGE AKITOA MFANO WA LEO ASUBUHI WA MASWALI YA PAPO KWA PAPO

5. KAMANDA AMWESEMA CHADEMA WAMETOA SIKU 30 MGOGORO UMALIZWE LA SIVYO LINAANZISHWA TENA.

6. LEMA AMESEMA ANAENDA BUBGENI KUTAKA MWONGOZO WAKE UTOLEWE NA SPIKA LA SIVYO HAKITAELEWEKA HUKO MJENGONI

7. LEMA AMESEMA HAITAJI KUSIFIWA NA ANA MAKINDA PAMOJA NA NDUGAI KWAN MKE WAKE ANATOSHA KUMSIFIA.

8. LEMA AMEDAI HAITAJI KABISA KUSIFIWA NA WABUNGE WA CCM

HAYO NDO NILIYO NASA
upuuzi mtupu! kuna nn cha maana hapo ambacho kitawaletea maendeleo wananchi wa Arusha? zaidi ya uchochezi na kejeli tu! wanaarusha tunataka maendeleo na sio malumbano ya kisiasa!
 
Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
Niliwahi kuwambia baadhi ya wachangiaji waliokuwa wanakejeli hatua ya cdm
ya kufanya mrejesho kw wana Arusha wakidai kuwa watazomewa.

Nilisema cdm nimfano wa kuigwa uamuzi huu ulikuwa wa kuonesha
ukomavu wa kisiasa,chama chenye fikira endelevu watu endelevu ambao wapo tayari
kuchukua maamuzi ya kutolewa mfano na vizazi vijavyo,cdm mmeweka historia
itakayo ishi.

CCM mpaka leo hawajakanyaga Igunga kuelezea wanachama wao na wananchi
kw ujumla kuelezea mapungufu ya rostam na kuachia ngazi kwake,na ajabu ya
mwaka jk kawaambia wamtafute ra awasaidie kampeni,CDM hawacheki na kima.
 
Back
Top Bottom