-kingine ni kwamba kwa mara ya kwana niliwaona wazungu means watalii nao wakija kuhudhuria mkutano huu. wanashangaa wanadai tangia wazariwe hawajawahi onaa na mkutano wenye watu wengi kama hao.
- kwa mara nyingine hadi wahindi walikuwepo.
- Jambo jingine ni kwamba Polisi ndo huwa wanaaribu amani kwani kwenye ule uwanja kuna Barabara inapita pembeni na magari yakikuwa yanapita bila wasiwasi kabisa.
- pale hata sisimizi sizani kama kajeruhiwa.