Jana ulianzisha thread yako kuhusu chadema kupoteza mvuto kigoma,nilivyokublast leo umekimbilia mkutano wa A town.
Unaanzisha pumba unashindwa kuzitetea. We ni hovyo! Picha za mkutano unaziona? Zinaashiria nini? Unafkiri ni magamba wanaoenda kwenye vituo vya mafuta kupewa mafuta bure na kusomba watu kutoka kijijin?
Peoples power itakutesa sana. Wewe ni zao la nsanzu,kaburu nk
endelea kujifia na bado mwaka huuLooh! mbona vitoto vya shule vilivyojaa hapo; ambavyo havina hata shahada ya kupigia kura!
huwa napata raha mnapopata pressure ,chadema itakuzika mwaka huu, endelea kutumia makalionilifikiri kuna cha maana walicho ongea kumbe pumba tupuuuuuuuuuuuuuuuuu8uuuuuu
nilifikiri kuna chama maana walicho present kumbe ni vapour
Hakuna umeme sasa, waltakiwa waulete toka saa12 lkn mpaka sasa holaa & hii itakuwa njama tusiangalie nadhaniTelevision gani itaonyesha vizuri tuone yaliyojiri Arusha!
Inaonekana umeangalia picha za mkutano wa Nape halafu ukaja kuweka comments huku.Looh! mbona vitoto vya shule vilivyojaa hapo; ambavyo havina hata shahada ya kupigia kura!
Wapi ritz, Rejao, Barubaru na mama lao FF? Wote hawa kwisha habari yao.