Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga) |
Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu |
Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga |
Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM |
Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu |
Walikuwa wamelala usingizi wa miaka kibao ya ccm na Rostam; sasa wanaamka.Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?
Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Chonde Makamanda wa Vijana kote nchini; Kamanda Mr II na Kamanda Lema hebu shukeni pale Igunga mara moja wapiga kura vijana wanatafuta kwa udi na uvumba kusikia sauti zenu.
Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.

Unamaanisha nini unaposema "Milele"?

Mbona unatumia rugha zinazokufunua na kuonyesha ubongo wako ulivyo mtupu?

Unaelewa Maaana ya Milele?

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.
Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Mwita25, kiingereza kingi bila hela ni makelele tu