Picha: Chadema warudisha fomu Igunga

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
[h=3]CHADEMA yatia fora maandamano ya kurudisha fomu ya ubunge Igunga[/h]

• CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
• Waitara atamba kuipoteza CCM
Na Elisha Magolanga
Wanachama wa CHADEMA katika msafara wa kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga
Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo

Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga)

Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu

Watu wa baiskeli nao hawakuwa nyuma

Vijana, watoto, kwa wazee katika maandamano

Hatimaye wakafika ofisi ya Mkurugenzi mnamo saa saba na nusu mchana

Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga

Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM

Kashindye akisaini fomu za kukabidhi

Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu

Hatimaye msafara ukafika katika ofisi za CHADEMA wilaya na kuahirishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu, Mbaruku (Kulia mwenye nguo nyeusi) kwa kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi siku ya Alhamisi tarehe 8 sept 2011 siku ya uzinduzi wa kampeni\za uchaguzi.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Naona hii ni Igunga halisi.
Kuna mtu jana alitupa igunga ya kuchakachua ya CUF

Chonde Makamanda wa Vijana kote nchini; Kamanda Mr II na Kamanda Lema hebu shukeni pale Igunga mara moja wapiga kura vijana wanatafuta kwa udi na uvumba kusikia sauti zenu.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?
Walikuwa wamelala usingizi wa miaka kibao ya ccm na Rostam; sasa wanaamka.
Tutawapima baada ya wiki mbili, then kwenye uchaguzi wenyewe baada ya mwezi mmoja.
Kama akina wameweza kuwa na ujasiri wa kuonyesha alama ya vidole viwili - ni mwanzo mzuri kwa cdm

Mwita25, CCM kilitupotezea wananchi maatumaini tangu siku nyingi sana nchini kwa kila mlazwahoi kwa mambo haya haya ya kuendekeza suti za dhahabu na ma-EVENTS karibu kwa kila kiongozi ndani ya CCM.

Mpaka hapo umesema ukweli, Wana-Igunga hawakuwahi kujua kitu MATUMAINI hapa nchini. Na haswaaa kule kutafuta matumaini mapya kwa Wana-Igunga ndicho kilichowapeleka CHADEMA pale Igunga.

Hakika MATUMAINI hayapatikani Igunga na kote nchini bila kwanza kung'oa huu mbuyu wa ufisadi nchini Rostam Aziz na Makuwadi wake wote huko CCM.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Chonde Makamanda wa Vijana kote nchini; Kamanda Mr II na Kamanda Lema hebu shukeni pale Igunga mara moja wapiga kura vijana wanatafuta kwa udi na uvumba kusikia sauti zenu.

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.

Yeah,,, Sugu, Lema, wenje, kiboko good toss waende pale kuhamasisha vjana wenzao kusababisha mabadiliko. Lucy kihwelu nae atie timu kwa ajili ya akina mama. Let changes prevail

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Unamaanisha nini unaposema "Milele"?
Mbona unatumia rugha zinazokufunua na kuonyesha ubongo wako ulivyo mtupu?
Unaelewa Maaana ya Milele?

Tarajia muziki munene pindi watu hao watakapowasili pale Igunga ndipo utakaapopata akili wewe mraaa. Lakini na wewe vipi yule jamaa mwingine wa TOP sijui OTTU mara ToT kwani safari hii hatii timu na kwaya yake pale Igunga.

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.

Unamaanisha nini unaposema "Milele"?

Mbona unatumia rugha zinazokufunua na kuonyesha ubongo wako ulivyo mtupu?

Unaelewa Maaana ya Milele?

Sasa kama unyo tafsiri ya neno milele si uiweke hapa, makelele mengi hayasaidii kitu. Ukweli unabaki kuwa CCM hainaga mpinzani linapokuja suala la viuchaguzi vidogo kama hicho ambacho Magwanda ndiyo wameona ni nafasi ya kuonyesha misuli yao.

What did you say? Of all party cadres, Sugu? Including this dunce into the campaign squad is tantamount to losing the battle even before touching the battlefield.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Ngoja niongee kama Mzee Jangala katika maigizo "unajilanganya"!

Ila Mwita25, kidogo nakusifu wewe sanaaaana kwa usugu na uwezo wako wa kuwa na roho saba kama paka au yule Waziri wa Mawasiliano wa Saddam Hussein wakati wa vita kule Iraq.

Kitendo cha wewe kuona CCM kinaangukia pua Igunga na wazee wote wa Chama kuamua kwenda kifichoni na kumuachia dogo Nape na Kamanda Siro kazi ya Igunga, Muraa kweli wewe mwanaume maana wenzio wote hapa jukwaani tayari wamepuputishwa na tatizo letu lile la kule Wikileaks.

Lakini usijepatwa ugonjwa wa moyo pindi KINACHONUKA ZAIDI ya sakata la suti ya dhahabu na ma-events itakapowekwa hadharani hapo mbeleni kidogo.

Mwita25, kiingereza kingi bila hela ni makelele tu

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom