EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
[h=3]CHADEMA yatia fora maandamano ya kurudisha fomu ya ubunge Igunga[/h]
- CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
- Waitara atamba kuipoteza CCM
Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga) |
Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu |
Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga |
Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM |
Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu |