Picha: Chadema warudisha fomu Igunga

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Propaganda hizo zilitumika zamani sana. Kwa sasa inabidi uje na hoja ili ueleweke. Magamba kwa ideology hiyo ya kupata kura kwa propaganda mmepotea. Watu walioishi kipindi cha ushindi wa propaganda si watu wanaoishi leo. Hata hilo hamjui.

Nawashangaa sana,pale topic inapo anzishwa badala ya kuchangia
topic husika,mtamuongelea Mwita mwanzo mwisho na topic inapoteza maana.

Is that necessary?

Nawashangaa sana,pale topic inapo anzishwa badala ya kuchangia

topic husika,mtamuongelea Mwita mwanzo mwisho na topic inapoteza maana.

Is that necessary?

Mwita25 is a rapidly-rising star and will soon be a superstar. His remarks are so substantial that missing one of them is worth perpetrating reprehensible crime deserving a respective condign punishment.

Hata shetani (devil) was a rising star.

Tarajia muziki munene pindi watu hao watakapowasili pale Igunga ndipo utakaapopata akili wewe mraaa. Lakini na wewe vipi yule jamaa mwingine wa TOP sijui OTTU mara ToT kwani safari hii hatii timu na kwaya yake pale Igunga.

Aaah unataka alale jukwaani?

Upepo ni dhahili ccm itashinda kwa around 60% bila hata mlango wa nyuma kama ambayo wana forum wananza kujipelekea mawazo yao hako!

perpetrating reprehensible crime deserving a respective condign punishment.

Unanikumbusha member mmoja alikuwa anaitwa Pundit...ooooops sijaandika hayo nilikuwa bado sijajiunga kumbe!!!!!!!

Duh! hapo Igunga mjini kwa "Rostam aliyefanya mambo makubwa" barabara ziko namna hiyo???????????? Ndiyo maana nilisema hayo mambo makubwa "yatanabaishwe/ yanyumbulishwe" ili tumlinganishe na wabunge wengine. Sasa kama mojawapo ya barabara muhimu mjini Igunga iko namna hiyo, hayo mambo makubwa ni yepi?

Just trying to imagine mvua ikinyesha hapo kunakuwaje!!!!!!

HPIM0273.JPG

Halafu wewe uliye post na picha unaingilia kazi za mbunge wa viti maalum Regia Mtema maana yeye ndiye authorized personel for pictures posting hapa JF..

Shangazi yangu wa Mbeya kasema ameona mabasi matatu ya Sumry yamebeba wahuni wa Sugu kutoka Mbeya mjini kwenda kuongeza nguvu za Chadema Igunga.

arooo!! wee mutu inaitwa Mwita, hiyo shangazi inafana nini uko?? au wee jina yako ya tata ni Chintuntufye??!

Duu!!!!!! kumbe hata wewe unamfahamu vizuri Mwita25? Nimecheka sana
Bado hujacheka, utacheka zaidi kuna thread humu ya leo leo, pamoja na mbwembwe zake zote za kiingereza cha kikasuku (kukariri ) huyu Mwita25, hajui maana ya Reputation Power, kwahiyo ameanzisha thread ili ajulishwe!
sasa mtu wa namna hiyo utasema kuna akili imesalia hapo kichwani mwake?

Mwita25 is a rapidly-rising star and will soon be a superstar. His remarks are so substantial that missing one of them is worth perpetrating reprehensible crime deserving a respective condign punishment.
Ukijibu maana ya Reputation Power nakupa zawadi.

its getting to my nerves, will you please ditch this childish sh**
Angalia jinga lingine hili hapa, mnajifanya mnajuwa lugha za wakoloni matokeo yake mnakuja kuahibika mbele ya Forum, haya mtafsirie mwenzako maana ya Reputation Power, maana amefunguwa thread kuomba kufahamishwa maana yake. kweli kuchamba kwingi ni lazima utatoka na kinyesi.

Bravo CHADEMA we need to take more than half of the MP's as you know... A government which robs Peter to pay Paul can always depend on the support of Paul...

We need to get rid of CCM the MAFIA of Tanzania

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

WE SEMA HIVI,UNAYETAKA KUCHEZA NAYE NDIYE REFEREE NA NDIYE KIBENDESA.HAPO INAHITAJ4 6Y6 NA NGUVU YA Z4ADA.ND4Z6 MAANA TUNASEMA KUMPATA MBUNGE MMOJA WA UPINZANI NI SAWA NA KUWAPATA 10!
Wa chama tawala. 0

Back
Top Bottom