PICHA: CHADEMA vs CCM - Hitimisho la mkutano wa kampeni Daraja II

kuna udini kuliko wa CCM? wewe mwenye mawazo hayo ni maskini kuliko hata mimi, nauhakika hata kula yako ya kesho ni ya tabu lakini unalamba shilingi elfu kumi ili kuwaabudu wakina Ridhwana waje kutawala watoto wako pamoja na kwamba akili na uwelewa wao ni mdogo kuliko wako, umeamua kuwa mtumwa milele endelea wenzio tumeshatoka huko, ndio maana alkaida wanaulia mbali watu kama wewe, maana ni adui wa vizazi vyetu, wabaya sana maana umekubali mtoto wako aishi kama mbwa, sisi wenzako tumesema umbwa utaishia kwetu lakini tutapigania utu wa watoto wetu, wewe hili huna kwa ajili ya tumbo lako, na uzuri linaishia kulishwa ukoko na ubwabwa wa siku moja
 
Pamoja na ukweli wa mahudhurio hayo, lakini mpiga picha kwenye mkutano wa CCM hajaonyesha ukweli kwa kuchagua angle ambayo inaonyesha sehemu ndogo ya wahudhuriaji. Bora kuweka tu hali halisi kwani kuhudhuria mkutano si ishara ya kwamba wote ni wapiga kura, wengi ni mashabiki zaidi kuliko wapiga kura. CCM walio wengi katika mikutano yao ni wapiga kura wakati Chadema walio wengi ni mashabiki. Tuwe wa kweli. Hilo ndilo Chadema inatakiwa kufanyia kazi.

Mkuu siyo suala la ushabiki,tena hapo nilikaa kwa mbali kabisa, ila eneo ilikuwa ndogo sana. Wakati napiga picha nilikuwa nimeegemea ukuta uliokuwa mwisho kabisa.
 
mkuu candid Scop tutajua kama ni wapigakura ama leo jioni kwa taarifa yako hata sura zilizoko hapo kwenye mkutano wa ccm ni ngeni watu wa daraja mbili wengi wamechoka..wanaishi kwenye nyumba ukiipiga teke inaweza dondoka..nitawashangaa wakichagua ccm..kuna thread nilianzisha jinsi wanavyo nyanyasika mishango isiyo nakicha wala miguu ukileta ubishi unakamatwa hakuna mdhaman mpaka mw/kiti atakavyopenda..
 
Last edited by a moderator:
CCM wanwajua wanachama wao kina bibi na babu sasa hawawezi kusimama wala kutembea kutoka kata moja kwenda nyingne kusikiliza mkutano hivyo wanawabeb kwenye mabasi.wasiwas wang je kubeba watu kutoka sehem moja hadi nyingine je ndio watakao piga kura? Kweli CCM ni wavivyu wa kufikiri na hawana mshaur.
 
Pamoja na ukweli wa mahudhurio hayo, lakini mpiga picha kwenye mkutano wa CCM hajaonyesha ukweli kwa kuchagua angle ambayo inaonyesha sehemu ndogo ya wahudhuriaji. Bora kuweka tu hali halisi kwani kuhudhuria mkutano si ishara ya kwamba wote ni wapiga kura, wengi ni mashabiki zaidi kuliko wapiga kura. CCM walio wengi katika mikutano yao ni wapiga kura wakati Chadema walio wengi ni mashabiki. Tuwe wa kweli. Hilo ndilo Chadema inatakiwa kufanyia kazi.
kama una picha inayotoa taswira unayoitaka wewe tuwekee nasi tuone. lakini kwa nini unajikakanganya hapo mwisho kwa kusema wapiga kura na mashabiki?
sio siri hali ya sisiem ni mbaya
 
mkuu candid Scop tutajua kama ni wapigakura ama leo jioni kwa taarifa yako hata sura zilizoko hapo kwenye mkutano wa ccm ni ngeni watu wa daraja mbili wengi wamechoka..wanaishi kwenye nyumba ukiipiga teke inaweza dondoka..nitawashangaa wakichagua ccm..kuna thread nilianzisha jinsi wanavyo nyanyasika mishango isiyo nakicha wala miguu ukileta ubishi unakamatwa hakuna mdhaman mpaka mw/kiti atakavyopenda..
Mi nimelamba 30000 kutoka kwa diwani mmoja anaitwa karim nikusanye majanki nikawamwage D11,nikakusanya vichwa 10,nikapita navyo mbele yake kisha tukatawanyika,mpaka sasa nna chenji
 
Last edited by a moderator:
mkuu candid Scop tutajua kama ni wapigakura ama leo jioni kwa taarifa yako hata sura zilizoko hapo kwenye mkutano wa ccm ni ngeni watu wa daraja mbili wengi wamechoka..wanaishi kwenye nyumba ukiipiga teke inaweza dondoka..nitawashangaa wakichagua ccm..kuna thread nilianzisha jinsi wanavyo nyanyasika mishango isiyo nakicha wala miguu ukileta ubishi unakamatwa hakuna mdhaman mpaka mw/kiti atakavyopenda..

Sipo kinyume chako, nilichoandika ni kwamba angle ya picha iliyopigwa haionyeshi upeo walikoishia watu, wamekatwa kuonyesha sehemu ya jukwaa zaidi, hilo ndilo ninaloliona bora kuchukua angle inayoonyesha umati uliko ishia.
 
kama una picha inayotoa taswira unayoitaka wewe tuwekee nasi tuone. lakini kwa nini unajikakanganya hapo mwisho kwa kusema wapiga kura na mashabiki?
sio siri hali ya sisiem ni mbaya

Hoja yangu ya kiufundi katika upigaji picha sina maana CCM watashinda au Chadema la hasha, ninachotaka ukweli wa picha uonyeshe hadhara ilikoishia badala ya kukata sehemu kuachia, kama we ni mpiga picha utanielewa.
 
Haijalishi kuwa mshabiki au mpigakura,picha inaonesha wazi kuwa wananchi wamehamasika na CHADEMA na ndio maana wanaweza kwenda kwenye mikutano yao,picha hii inatupa ishara ya kukubalika kwa chama husika.
 
Pamoja na ukweli wa mahudhurio hayo, lakini mpiga picha kwenye mkutano wa CCM hajaonyesha ukweli kwa kuchagua angle ambayo inaonyesha sehemu ndogo ya wahudhuriaji. Bora kuweka tu hali halisi kwani kuhudhuria mkutano si ishara ya kwamba wote ni wapiga kura, wengi ni mashabiki zaidi kuliko wapiga kura. CCM walio wengi katika mikutano yao ni wapiga kura wakati Chadema walio wengi ni mashabiki. Tuwe wa kweli. Hilo ndilo Chadema inatakiwa kufanyia kazi.

Nadhani mpiga picha katika mikutano ya CCM alikuwa anapiga picha kwa tahadhari akiogopa kipigo cha greenguard! usimlaumu sana si kosa lake Mkuu.
 
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

Picha:
314226_444678588903245_658169039_n.jpg

522953_444683825569388_668495114_n.jpg

306540_444684982235939_1292187999_n.jpg

282239_444687312235706_2044592971_n.jpg

Tunashukuru Mkuu kwa kutupa up date ya picha. maana kwa ukimya wa jana jioni watu walidhani ulitekwa Na greenguards!
 
Mikutano ya chadema inajaa wahuni wanaofata mipasho ccm kuna wat na heshima zao.
 
Back
Top Bottom