Huwezi kuwa ngome ya CCM, kama huna uhakika wa mambo mengi tu katika maisha yako, kuanzia, umeme, usalama, huduma za afya etc. Wale wachache waliokuwa ni ngome ya CCM kwa kuwa wana ajira nao wameona kuwa kuna mambo mengi sana CCM haiyafanyi, kama kuzuia ufisadi, uboreshaji na uangalizi wa miondombinu et al.
Blog kama hii inaweza kuwa na hits nyingi sana kwa ajili ya thread kama hivi zenye link, mtu ana click akifika huko anaona hakuna jipya humuoni tena siku ingine. CCM nafikiri wajikite kwenye kuondoa kero za wananchi zaidi kuliko propaganda, maana hakuna anayewaamini tena.