Picha: CHADEMA M4C Mtwara

Mududu aling'oka 2010, kwa bahati mbaya mkashindwa kulinda kura zenu! je! 2015, mtaweza kuzilinda? Wenzenu tulipata kwa risasi, hatutaachia kwa karatasi.
 
sijui wadau kama washapa jibu walilokuwa wakiuliza kwa nini mkutano ufanyike.. silence means???
 
sijui wadau kama washapa jibu walilokuwa wakiuliza kwa nini mkutano ufanyike.. silence means???
ni kweli mwaka 2010, lakini kwa mwamko huu na kwa kulitambua hilo 2015 tunaendelea kuhamasisha na ifikapo mwaka 2014 tutakuwa na kampeni ya "Piga kura linda kura" halafu uje na hilo swali mwaka 2016
 
moto umehamia kusini na wamekubalika.Sijui magamba hapa watatoka na wimbo gani tena?
CCM imecha anza kuanga wananchi na wamejianda kwenda kumpiga raisi mahakamani baada ya kuona hawatashinda tena bali watakuwa chama cha upinzania kuanzia 2015....
 
ni kweli mwaka 2010, lakini kwa mwamko huu na kwa kulitambua hilo 2015 tunaendelea kuhamasisha na ifikapo mwaka 2014 tutakuwa na kampeni ya "Piga kura linda kura" halafu uje na hilo swali mwaka 2016
majibu yako yanalingana na yangu niliyowapatia lakini hawakuonekana kuridhika then pakawa silence ghafla. does tht means wauliza maswali washajipatia majibu wenyewe
 
Huwa nawakubali sana n00b na Crashwise kwenye mafoto!

Halali mtu hadi kieleweke!
 
Mwaka 2015 chadema ni chama tawala..ombi langu kwa wapenda mabadliko tuzidi kuichangia M4C kama alivosema mbowe kuiondoa CCM madarakani ni garama tena kubwa, tusibaki kushagilia na kubeza bila nasi kushiriki kwa njia moja au ningine.....

Kweli kabisa Mkuu kila mtu kwa nafasi yake ajitume ili kusogeza watu kwenye mabadiliko ya kweli.
 
Mimi M4C inanivutia sana!!!
Ni salamu kwa CCM kuwa utawala wake umefikia kikomo!!!!
Nikimnukuu MBOWE;"M4C ni kujiandaa kwa cdm kuchukua dola kwa njia ya amani,bila damu kumwagika!!!"
Hii ni vision murua na ni vema watz wote bila kujali itikadi zetu tuwaunge mkono cdm na kwa wale ambao wamevaa gamba wavue na kuvaa gwanda!!!!
VIVA CHADEMA!!!
 
Kuna Mtu anajiita MAFILILI ni muongo kuliko boss wake;
MAFILIL umeiona hiyo?
 
Nani anasema Ntwara wamelala...?!! yuko wapi sasa nani?!! ajitokeze hapa Tumuone...
 
Hivi huko NTWARa nako hakuna wanawake wa kujohn m4c.? Mbona me nawaona wanaume tu.
Au wanawake nao hawataki mabadiliko?

Mwishoni utaulizia hata na yasiyoulizwa, kwani umeambiwa kwenda kwenye mkutano ndio kujiunga? au kutokea kwenye picha ndo kujiunga? uliza basi kadi zimesajili wanawake wangapi na wanaume wangapi
 
Mkuu pamoja sana tu... kuna kenge mmoja anafikiri naye ni GT kapiga picha za watoto watano wa jirani zake wakionesha ishara ya chadema akaweka humu kupotosha umma eti hawakupata mapokezi Kusini kwakuwa ni chama cha kaskazini..aone mambo sasa...ninamuweka kwenye Ignore List...anaitwaaaa sijui mfalafala sijui mfalili....Tabu kweli.
 
Back
Top Bottom