Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

Hahaaha aibu ya mwaka watoto wa lumumba hawana la kusem maana wanajisikia aibu lumumba njoon huku muone mkutano wenu, na bado mwaka huu mtakoma, ila hapo wangelikuwa na fis kidogo wangepa mahudhurio.
 
Mada zingine za kilevi kweli.

Labda ww hapo ndo umelewa kbs mwaka huu mtaipenda watanzania wamewachoka na wizi wenu, ila sikushangai sn mmezoea kusifiwa na kusomba watu na malory hili la fis bhana ndo linatia fora zaid.
 
Sasa mkuu unaniambia niache upinzani wakati unafahamu kuwa me ni mpinzani,ok either CCM wakupitishe ama wasikupitishe bt wanaMUHAMBWE hatutakuchagua kabisa,endelea kukaa Dar ama Russia bt Kb sahau
mi nimeuliza kwa sababu nimekaa naye kwa mda ila huko kwao sijui ndo maana nikasema hata ccm watampitisha kweli?maana jamaa navyomjua ni kigeugeu alikuwa upinzani nikashangaa now anajitokeza ccm
 

kweli migamba imechokwa. mbona mkutano wenyewe ni kama kikao cha harusi?
 
Eti wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno,sasa nani kawafunga miguu wakae hapo,wananchi mazuzu hao

Mkuu nipo hapa mkutanoni tayari watu washaanza kuondoka jibu
 

Ni sikio la kufa hilo
 
Kina mzee Makamba kunukuu vifungu vya biblia na msahafu ni sawa ila Maaskofu na mashehe wakinukuu Katiba ni jinai?

Makamba ndiye mwenyenchi hao wengine ni kharamu
 
Navyowajua watu wa hapo Kibondo niwatu wanaojitambua sana,wasikubali kuiludisha Ccm tena kwa sababu kama nikutunyonya walishafanya hivyo.Hapo ndipo nilizaliwa mkuu

Unawafahamu hasa hawa wana kigoma?
 
Hapo Mkosamali nae hawamtaki nadhani Chadema wajipange kupeleka mgombea mzuri wachukue hilo jimbo, na nasikia na rafiki yangu Jamal anataka kurudi ulingoni tena
 
comment yako inaonesha kuwa kinachokusumbua hapa ni wivu na sio kingine.
 
Hahaaha aibu ya mwaka watoto wa lumumba hawana la kusem maana wanajisikia aibu lumumba njoon huku muone mkutano wenu, na bado mwaka huu mtakoma, ila hapo wangelikuwa na fis kidogo wangepa mahudhurio.

Inawezekana kinana kapigwa bit na waziri husika
 
Barabara ya Kidawe kwenda Nyakanazi ndio inaiadhibu ccm huko siasa ya Kigoma ni ya aina yake tusishangae awam hii hata ACT ikanyakua majimbo huko
 
Navyowajua watu wa hapo Kibondo niwatu wanaojitambua sana,wasikubali kuiludisha Ccm tena kwa sababu kama nikutunyonya walishafanya hivyo.Hapo ndipo nilizaliwa mkuu



Asante mkuu kwa kutuwakirisha huko ulipo,Kigoma na Kibondo kwa sasa ni CDM tupu+UKAWA
 
Hapa wafanyabiashara ndogo ndogo uwepo wao umeipa kampani CCM dhidi ya aibu ya kukosa watu
 

Attachments

  • 1427992312818.jpg
    34.3 KB · Views: 164
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…