Shaka ni MwambaHakika CCM inahazina kubwa
Shaka ni MwambaHakika CCM inahazina kubwa
Ni wakina nani huko ccm ?Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
View attachment 3445962
Viongozii wa juu wa keshoNi wakina nani huko ccm ?
sio kweli hawa ni vijana wazalendo sanaMafisadi hao
Wewe ndiyo yupi kati ya hawa?Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
View attachment 3445962
Wazalendo kwa CCM sio kwa Taifasio kweli hawa ni vijana wazalendo sana
Mkuu kwani CCM iko Taifa gani?Wazalendo kwa CCM sio kwa Taifa
Wachawi hawa....wakizeeka watashindikana❗❗❗❗❗ kijana yyte shabiki wa mbogamboga, ana,hila roho,chafu takataka wabaya sana na uchawi lazima wawe nao...Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
View attachment 3445962