Aliinuka akapiga hiyo picha kwa uzuri. Whatever the case, ni picha ambayo imetufurahisha wachangiaji, na wachangiaji wamechangia na kutoa changamoto,angalau tumeongeza dakika kadhaa za maisha.
hivi pikipiki na simba nani ana mbio???
kama wewe ni ME basi shemeji annue bunduki na mabomu aweke ndani.Hapa ningekuwa mimi ningezimia aisee maana muoga kinyama, mnyama mwenyewe simba!! Nilishawahi kukutana na kitimoto pori asubuhi asubuhi saa 12 wakati nakusanya kuni za kupika chai,
siku hiyo nakumbuka miguu iliishiwa nguvu nikaanguka chini bahati nzuri nilikuwa na ba'mdogo wangu akapiga ukunga ndio noah akasepa.
Samahani LUGHA gongana hapa: kupiga ukunga maana yake nini? Au ndo kupiga yowe/mayowe?
.........Mkuu, maeneo gani hayo ulipokutana na Kitimoto pori asubuhi asubuhi na mimi niende kuokota kuni? Daah, nimechoka kula nyama ya kitimoto wa kufugwa lol!!.
Kupiga ndulu mkuu
mbusage naona mkuu umefanya kweli... ila vipi hii safari uliimaliza salama au ndio iliishia hapo??
Samahani LUGHA gongana hapa: kupiga ukunga maana yake nini? Au ndo kupiga yowe/mayowe?
Huyo simba ni mtoto sana nadhani dume la miaka miwili au bado, yeye angempigia kelele tuuHizi pikipiki za kichina huwa zinazimaga ghafla..! halafu ukipiga kick zinagoma for no apparent reason..! bahati yake halikutokea hilo.., angevunja kioo cha gari lako ajifiche humo..! ahahahahahahah..!
okwi angetokea hapo simba asingekaa road
....Kumbe unaweza kujua maeneo aliyozoea mtu kuishi kwa kuangalia maandishi aliyoandika kwa kutumia keyboard ya Computer!!We huwezi maeneo hayo inaonesha umezoea lami tu, wengine tulizoea kupishana na swala.
Bodaboda haturudia kupita hapo atapanda magari.