Picha: Binti huyu mwanafunzi wa form 4 kapotea

Picha: Binti huyu mwanafunzi wa form 4 kapotea

Kwa comments nilizosoma humu sintashangaa tena tukio likitokea
Wakati yule alisema kuna wengine wameenda kutafuta maisha mengine Watu walikasirika sana na kutoa povu la kila aina, sasa kwa kuwa huyu msichana hajulikani basi yataandikwa kila aina ya maneno

Ifahamike tu kuwa kwa wenzetu mtoto akipotea watajitokeza watu hata zaidi ya elfu kuanza kusaka sehemu za jirani zote kama kauwawa au la
Huku Police wakigonga nyumba hadi nyumba kuuliza
Na wakiendelea na upelelezi kuanzia marafiki zake na waliokuwa karibu zaidi

Sishangai kwa majibu bali tujue huyu msichana ana ndugu na wazazi wanaomlilia saa hizi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Two years later katakuja hapa JF kanajibehave kama kina joanah ...!!

Pumbavu kumbe hakuna style hakajawahi pigwa.

Sema tu hainaga shombo.
 
I wonder kwnn watu mna mhusisha na mambo ya kuolewa sidhan kama wazazi , majilani na jamii yake hawajui mwenendo wa binti Yao kisasi kwamba watoe taarifa police, ingekua huyu binti kaenda kwa wanaume wasinge mtafuta kiasi hiki unless kuna mambo ya kifamilia kma domestic violence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akipatikana ulete feedback kama upo karibu na hiyo familia..maybe we can learn something
 
Huyo hajapotea....

Atakwa yupo sehemu anachezea bolo young..
 
Back
Top Bottom