FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

The statement is entirely incorrect
The proof that Netanyahu is alive is a Netanyahu with 6 fingers.
unconfirmed NEWS are 4 days ago he died in an attack on his house where his brother and Ben Gvir also died.
 
The proof that Netanyahu is alive is a Netanyahu with 6 fingers.
unconfirmed NEWS are 4 days ago he died in an attack on his house where his brother and Ben Gvir also died.
Nyie jihadists mnakaa humu kupiga umbeya tu hata kwenye sala salaa hamuendi wakati mnadai kwamba mmefunga kula chakula mchana. Bure kabisa.


 
Kwaheri Netanyahu kakutane na kaka yako Hitler kuzimu.
 
Taarifa nyingi zinazoonekana nzuri kuihusu Iran zinatokana na teknolojia ya AI. Mashabiki wengi wa Iran wako busy kupika hizo taarifa mitandaoni.
 
Time and again we've spoken of the frequent fake news most of which emanates from various moslem mosques and there are doubting Thomases who have shown skepticism over our allegations, however, this is a flagrant proof of what we've been prodding to.
 
The proof that Netanyahu is alive is a Netanyahu with 6 fingers.
unconfirmed NEWS are 4 days ago he died in an attack on his house where his brother and Ben Gvir also died.
Kwa mara ya kwanza baraza la usalama la Israel lilikutana bila Netanyahu kuwepo. Netanyahu ameshakwenda na maji. Hata wafiche vipi siku itafika dunia itatambua.

Waswahili tunasema "la kuvunda halina ubani"
 
Taarifa nyingi zinazoonekana nzuri kuihusu Iran zinatokana na teknolojia ya AI. Mashabiki wengi wa Iran wako busy kupika hizo taarifa mitandaoni.
Wewe endelea kishikiwa akili na wayahudi wa Tandale. Ila Netanyahu safari alijiandalia kifo chake mwenyew na Iran wakaamua kumzika na kombora huko huko pangoni kwake.

Kwa mara ya kwanza baraza la usalama la Israel lilikutana bila uwepo wake, kitu ambacho hakikuwahi kutokea katika maisha yake.
 
Angekuwa na mpango huo angeshampiga siku nyingi, huyo jamaa yupo sana
Kwa mara ya kwanza baraza la usalama la Israel lilikutana bila uwepo wa Benjamin Netanyahu. Kitu ambacho hakikuwahi kutokea katika maisha yake 🀣🀣🀣

La kuvunda halina ubani, muda utaongea tu watu wataanza kufahamu mdogo mdogo 🀣🀣🀣
 
Labda kwako ndio haijawahi kutokea, they do that mara kadhaa. Si kila kikao mkuu wa nchi yupo, kuna seniourd officer leading that
 
Iran has shocked the international community by claiming that Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is no longer alive. Officials in Tehran allege that Israel is currently using sophisticated artificial intelligence and deepfake technology to "puppet" him in public videos to maintain morale and mask a leadership crisis.
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Labda kwako ndio haijawahi kutokea, they do that mara kadhaa. Si kila kikao mkuu wa nchi yupo, kuna seniourd officer leading that
La kuvunda halina ubani mkuu. Safari hii Shetani nyau kaingia kwenye 18 za waajemi, hivyo kwisha habari yake.

Bado wapambe wake mnajitahidi kuonesha kuwa jamaa aliumbwa ili aishi bila kufa, ila nature inakataa. Na ubaya wa kifo hata ukifiche vipi one day kitakuumbua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…