Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,814
- 110,063
kaka watu8 hilo eneo jana limesomba daladala jioni,nilikuwa na jamaa zangu wametoka home walikuwa katika hiyo gari....
sasa huku kisarawe kuanzia pugu hadi vigama road imeharibika kwa maporomoko ya udongo
Duh!!!
Mkuu kulikuwa na vijana wanaongoza magari hapo kwa ujira mdogo, nadhani hao waliosombwa walipita nyakati ambazo vijana hao wameondoka