PICHA: Athari ya mafuriko sehemu mbalimbali Dar es Salaam 13 Machi, 2017

Kwakuwa akina Sophia Simba na Ramadhan Madabida wameshaondolewa Chamani sasa nuksi imeondoka na tutegemee mvua hadi mwisho wa mwaka.


acha mawazo mgando watu watolewe dodoma mvua inyeshe dar au unafikiri atujui kuwa ni bwana yule kaondoka ndo imenyesha dar kama alivyosafirigi nje ya nchi tz nzima mvua ikanyesha
 
jamani mwenye akiniokotea wallet yangu ina hela ndani imebebwaa na maji yan inaogelea sijui ata inaenda wapi !ngoja niione nijue mwisho wake
 
Kwani kwaleo baadhi ya watu vyombo vyao vipo kwa jirani na wengine juu ya kipaa yote inasababishwa na nini
(a)unafuu wa viwanja
(b)na mimi nikae mjini
(c)viwanja vya mwinuko vimekwisha

IMG_20170313_114559_715.jpg
 
sisi ndio tunaowalisha madada zako waliokimbilia huku mjini ukiona dada ako anakutumia hela ya kununulia chupi ujue imetoka kwa mmoja wanaume wa dar hivo siju nyingine ukitaka kutu address anza na shemeji, halafu uwe na adabu maana iko siku tutakatisha misaada kwa madada zenu walioko huku mjini.
 
waliojnga kituo cha mwendokasi jangwani nao ni jipu..
Au nacho ni kituo hewa!? ....lakini hapana, hiki kimejengwa na kusimamiwa na tanroads chini ya wizara ya ujenzi tena zama hizi hizi za sayansi na teknolojia!
 
Halafu mvua ikinyesha huku dar unakuta mtaa mzima unanuka hatari hasa mitaa ya sinza.
 
Back
Top Bottom