Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

unajua some people kwa sabab tu ya kuwa maamuma hawajui hata nin waweke hapa ktk jukwaa na nin wasiweke.kama we ni muelewa kweli ungeelewa kuwa obama alikuwa na akili kwa kutotaka watu wazione lakin kwa kuonesh jins gan u mvivu wa kufikiri umeziweka hapa ukihan unafichua siri or its an issue.huu ni ujinga tu sisi tunaita watu wa aina yako maamuma.tatizo si marekani kama ambavyo pia tatizo tu si waislamu.coz mi nimepata kuongea na waislamu waelewa wanapinga UGAIDI KWA NGUVU ZOTE.wanapinga ile dhan kuwa ukimuua aisye muislamu unaenda mbinguni moja kwa moja na kupata mabint bikra kadhaa...huo ni ushetan.wanapinga kukata vichwa watu au kuwalipua kwa mabom kwa kisingizio chochote.hao ni waislamu safi kabisa wanaomwabudu mungu wao....ila kuna wale maamuma wasiojua ndo wanaoburuzwa buruzwa.achen ujinga binadamu wote wanastahili kuish bwana
 
tuonyeshe zile za September 11, halafu na zile Osama akipiga punyeto huku akiangalia ngono ya kizungu hadi walimkuta wamerikani na kutekwa hizo movies zake za x.
 
Back
Top Bottom