Picha: Aina ya salamu mpya Tanzania

Picha: Aina ya salamu mpya Tanzania

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
571578114.JPG
 
mbeya hiyo uzinduzi wa precision air!!!duuh waafrica matumbo eti ndiyo afya na uwezo kifedha kumbe ni maradhi matupu
 
kama ni mbeya wanatuonyesha ni jinsi gani ndizi zinaliwa kwa nguvu
 
Mkuu EMT, matumbo kama hayo ni majasho tu, sifa nyingine kubwa ni kukoroma, mafua yasiyokwisha,

you dont want that body for sure
 
  • Thanks
Reactions: EMT
vitambi viwili vikubwa sana,changanua sentensi hii kwa njia matawi
 
Kuna mtaalam mmoja psychologist alitembelea TZ, akawa anawasilisha matokeo ya utafiti kwa mizungu mienzake... moja ya majumuisho ya utafiti wake ilikuwa ni kwamba ukitaka uheshimiwe TZ jitahidi uwe 'as wide as possible'. Nilidhani anapalizia, lakini hapa naona kama akuna kaushahidi kinamna. Tamtumia hii link ..
 
mtumie hii picha aweke kwenye hiyo paper yake
 
hahahhahha...hiyo staili nimeipenda but ni ya kibaguzi kwa kuwa haijazingatia uwepo wa sisi vibaumbau tutagonganisha nini sasa kama sio mifupa tu cheche zitoke...kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Na kwa jinsi tulivyo wapuuzi juu ya afya zetu, waweza kukuta walikuwa wanpongezana "NAONA MWENZANGU MAMBO YAMEKUNYOOKEA, SI UNAONA HATA KITAMBI UNANIZIDI?"
 
Maskini EMT, sijui wewe utamsalimia nani sasa with your six packs 😱hwell:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom