Picha: Aina ya salamu mpya Tanzania

Picha: Aina ya salamu mpya Tanzania

571578114.JPG

hao itakua wanafanya kazi bandarini (TPA)
 
hawa walikuwa wanacheza muziki , nikama ilikuwa sherehe fulani iliofanywa na compuny flani
 
EMT,

this sh!t just made my day...hehehehehe!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Watu wengine wana raha kweli, mimi nikiwa hivyo talaka nitakuwa nimeshalambishwa siku nyingi.
 
Oohhhh my goodness!!! I am feeling like petrified

Maana yao hasa ni nini??



You've got to be petrified kwani hiyo ni salamu mpya kwa vigogo wa magamba maana wameridhika na kutuhujumu hivyo wanatusanifu kwa kupimana vitambi kuona nani amefaidi zaidi hizo hujuma!
 
najaribu kufikiria siku January Mukamba akikutana na Abudulah kigod kama wataweza kusalimia kwa staili hii!!!

Watakuwa disqualified automatically.
 
Back
Top Bottom