CCM B kazin
Mtaa wa Ufipa presha imepanda , mbege hazinyweki leo
Hahahahaha #lakisipesa dada #nifah alikua anakuulizia mbona huonekani?
ww muongo kigoma zito hakuvaa nguo hizo. acha ushoga ni ya leo hiyoooooKigoma hiyo weka za leo
swissme
Huyu Jamaa anakwenda Kuipoteza CUF, maana nimehesabu Vibarakashia hapo, yani utafikiri Mkutano ulitangazwa msikitini.
Duh!
tena leo ni Ijumaa!
Mkuu,nilikuwa bize na mkutano wa mzalendo Zitto
kwani chadema ndo chama kikuu hapa tz? mkiambiwa nyie ccm mnakataa haya sasa kazi ipo.
Hahahaha hongera sana kwa kazi nzuri make naona Mkutano umefana ile mbaya... ila kwa mwendo huu naona Mzalendo atawakomba wafuasi wa vyama vyote... angalia usije ukapitiliza...
CCM B at work
Mlisema waende field waache siasa za mtandaoni, sasa wapo field mnaanza kumbwela mtakubali tu.ACT- TANZANIA Means Ant-Chadema Truely Tanzania. Hiki sio chama cha Upinzani, ni kikundi cha kupinga Chadema. Hakina mikakati ya kupinga chama tawala bali chama kikuu cha upinzani. CHADEMA.