Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

CCM wasipokuwa makini huyu dogo atawatapeli ruzuku na wanazoiba zote then october wasiambulie kitu dogo zzt ni tapeli.
 
Nadhani BAVICHA sasa you are runing out of ideas. Kama watu wote wanaokuja kujiunga ACT -Wazalendo ni CCM mmekuwa mbubucha wa kutupwa. Watu wanakimbia CDM nyie bado mpo tu hapo na upopo wenu. Kalagabaho. Kimbia saccos ya masultani, msidanganyike hawawajui kama hata mpo kwemye keyboard mkitetea saccos yao
 
Naona Bavicha you're runing out of ideas. Hao si CCm ni magwanda hao, si unajua chama ni mtu, waliumia naye watafurahi naye. NYIE KAA HAPO KWENYE CHAMA CHA MASLTANI MKIDHANI NA NYIE MMO. aaah wapi HAWAWAJUI na wala hawajui kama mpo kwenye keyboard mkiwalamba miguu. Poleni ACT inaondoka hiyo na rundo la magwanda
 
Vijana wote wa CCM wako kazini kutetea Tawi lao la ACT.
 
Back
Top Bottom