Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Accept the fact to free your mind psychologically.Chuki haijengi

Na wewe uko brainwashed kama hujui lengo la vyama ni kutawala na wanaotaka kutawala ni wakuu wa vyama wengine ni wasindikiaji tu maisha yooote. Wale pale jukwaani ndio wanaonufaika ndio maana wao wamewekewa turubai kujikinga kivuli na thithi tunaowapa ulaji kwa kuwashabikia tunabaki juani tukitota na kuwekewa maneo midomoni. Also accept the fact to free yourself from mental prison!!!!
 
Wanachonifurahisha ACT hawazungumzi matusi, kashfa, wala hawahangaiki kujibu kashfa zenu. Wao ni hoja tu. Nahisi ndoto yangu ya kuona wapinzani makini nchi hii imeanza kutimia.
 
A strong message, difficult to ignore kwa kusema tu kwamba kuna MaCCM au CCMB

its a message and UKAWA need to know that they have two enemies, the common one, and the offspring
 
Chadema hamuoni aibu?hao mnaowatukana wala hawajibu matusi yenu wao wananadi sera zao.Wengi tulikuwa tunataka mabadiriko ila tulikuwa hatujui tutayapata wapi.ila sasa wale wazalendo wa kweli tushapata pa kuelekea.
 
Yan kiongoz mkuu wa chama nawasiwasi kwa mavaz hayo CHADEMA bdo iko moyoni chini kombat juu ACT
 
Back
Top Bottom