Hizo picha ni edited sio mkutano wa leo
Wafuasi wa CHADEMA wenye chuki na Zitto nadhani hizi ni salamu kwenu!
ACT wanafanya siasa za kistaarabu ndio maana wananchi wanajitokeza kwenye mikutano yao.
Hapo hawajatumia CHOPA lakini nyomi ndio hii!!
Poleni sana BAVICHA.
Kelele za mbu hazichani neti,watz hatuhitaji mpasuko UKAWA ndiyo mkombozi wa wanyonge.Mwaka huu tunaizika CCM na act kabuli moja.
Haya mafuriko hayazuiliwa kwa kifusi,Waliosema ACT haitasimana sasa wanakisa pakuficha sura,bila shaka Uzalendo unazidi kuwsfikia wanyonge.
ACT-Wazalendo mmenilaza kwa furaha,Kesho itakuwa Njombe
Chama cha EDWIN MTEI(chadema) mna kazi sana kupinga ACT