Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Bunge lijalo kambi rasmi ya upinzani bungeni. Mbowe kama unataka ukuu huo nakushauri uachane na chama cha kifamilia uungane na wazalendo.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Hii inanipa picha kua ccm wajipange sawa sawa,huyu jamaa hatachukua wa upinzani tu,hata vile vichwa vinavyotegemewa ccm,
 
Act na ccm jidanganyeni na huo mkutano ..nguvu ya ukawa mtaiona soon
 
ACT- TANZANIA Means Ant-Chadema Truely Tanzania. Hiki sio chama cha Upinzani, ni kikundi cha kupinga Chadema. Hakina mikakati ya kupinga chama tawala bali chama kikuu cha upinzani. CHADEMA.
 
Hii idadi haijafikia ileee ya Alphonce Mawazo kijijini kwetu..
 
Wafuasi wa CHADEMA wenye chuki na Zitto nadhani hizi ni salamu kwenu!
ACT wanafanya siasa za kistaarabu ndio maana wananchi wanajitokeza kwenye mikutano yao.
Hapo hawajatumia CHOPA lakini nyomi ndio hii!!
Poleni sana BAVICHA.
 
Nina wasi wasi huenda Zitto na Mbowe wanahujumu Upinzani bila ya watu tunaouunga mkono kujua,haiwezekani Zitto afukuzwe wakati wa uchaguzi mkuu umekaribia wakati ushawishi wa Zitto kisiasa unafahamika,kwanini hawakumfukuza miaka kadhaa ya nyuma?Nina wasiwasi fedha za escrow zinazosemekana kuchukuliwa na hawa mabwana wawili zimeanza kuzaa matunda.Kwa mara nyingine tena Watanzania mnaingizwa chaka na hawa makanjanja wawili.Poleni sana for trusting the wrong people, Lipumba pia simwamini maana naye alishawahi kumwokoa Kikwete.Siasa za Tanzania bana yaani pasua kichwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Katika kile kinachoonekana kama kususiwa ACT Wazalendo kimekosa nafasi kabisa kwenye vyombo vya habari karibu vyote kwenye taarifa zao za habari. Hata hivyo, nategemea gazeti la JAMBO LEO, HABARI LEO NA UHURU Kuwapa coverage kesho.
 
Back
Top Bottom