Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Wachaga chama chao ndiyo kimekufa Rasmi.

Mtei tafuta biashara nyingine.
 
Hapo kweli ni Songea Uwanja wa Shule ya Msingi Songea (Majengo), karibu kabisa na Stand Kuu iliyopo Mfaranyaki Songea. Huo Uwanja upo Karibu na Ruvuma Distributors na Opposite to Ahmadiyya Muslim Jamaat Mosque.
 
siku zitto akiiangamiza chadema na ukawa kwa ujumla na kuanzia kupambana na ccm..nitasema kweli wamedhamilia...lakini kwa hizi pongezi wanazozipata kutoka ccm kwa kuua upinzani sidhani kama wa nia ya kupambana na ccm..
 
kiukweli ZITO kabadilisha hali ya hewa songea.

ingekuwa kesho ndio uchaguzi basi zito angevuna kura nyingi.hata yeye hakutegemea kama tuliouzulia tungefikia vile.HAKIKA ZITO NI BALAA
 
Mkutano kama ule zzk hajapata hata mwanachama WA kujiunga ,sasa akiondoka SI ndo basi atakuwa ameondoka na kakikundi kake ka kwenye wallet?
 
Yaani act bwana ...ukitaka kujua kama hao walikuja kupoteza mda kesho cdm waitishe mkutano hapo uonee kizazaaa....hao walikwenda kumsikiliza msaliti zito...jiulize baada ya zito kuondoka nini kilijiri na nini kitakacjojiri hio kitu iliwagharimu sana cdm mwaka 2010 ila kwa sasa mtandao wao umeenea kila kona...act mjiulize kuna kiongozi yeyote yule mwenye mvuto hata wa kuita watu 10 zaidi ya zito katibu wenu ndo mweupee kabisa mwenyekiti ndo boyaa kabisa hao viongozi wa wilaya ndio ovyo kabisa ni kinachowaharibia ni wana ccm kushiriki kwa hali na mali kwenye mikutano yenu wakiwa na bendera zenu huku wakijulikana waziwazi na wakazi wa hayo maeneo kuwa ni makada wa ccm ukitaka kuamini nenda songea kesho uulize watu usikie unachoambiwa au wasemavyo watu wa hapo ndo utajua kuwa act mna kazi sana na hzo hela zitakwisha mda c mrefu ayatola mtamfilisi

Chadema songea haipo, Songea hakuna wachagga
 
Mnapaswa kuhurumiwa Sana Chadema saccos,mwenzio alidai hizo picha Ni za KIGOMA wewe unasema ni edited haya Tunawasikilizeni ,endeleeni kujin yea.
Upuuzi mwingine huna formula maloli ya ccm kibao halafu munajipima na chadema watu vichwa unahesabu hawafiki mia tano duh
 
wale bavicha na matusi yao sasa basi,ile saccos ya wachaga kwa sasa basi watapata kula kilimanjaro tu kwengine ndo wasahau
Kwa hiyo saccos ya waha de banyamulenge act ndio imepewa ujiko na ccm kudos ayatollah
 
Back
Top Bottom