Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Zitto Zuberi Kabwe tusiwe washabiki tuache unafiki kweli watanzania wanamkubali, UKAWA tujipange au tumkaribishe UKAWA
 
Waberoya

Ulicho andika hapo juu kimetuingia wengi sana na ni kweli tupu!Kumfukuza mtu aliyechaguliwa na wananchi wote wenye vyama na independents ni up u u zi wa hali ya juu!

Huwa nachukia sana diwani,mwakilishi au mbunge akifukuzwa maana unayemkomoa ni mpiga kura wake

CHADEMA wasimchukulie Zitto kimasihara
 
Last edited by a moderator:
Zitto Zuberi Kabwe tusiwe washabiki tuache unafiki kweli watanzania wanamkubali, UKAWA tujipange au tumkaribishe UKAWA

MKIGOMA jana zito kasema yupovtayali kuwa sehem ya UKAWA ilikuiondoa ccm madarakani lakini muungano huu uwe na tija kwa taifa lakini sio vyama viungane kwa maslahi yavyama pekee.

kasema kwamuungano uliopo sasa siomzuri kunahaja yafanyike mamboya msingi isije wananchi wakaona wanaitoa ccm madarakani wakaiingiza ccm nyingine madarakani kwa uroho wa madaraka.kawaomba watanzania kuiunga mkono ACT wazarendo ndio chama kinachojimbambanua kupigania haki za wanyonge.
 
Mnaodhani act itachukua kura za Ukawa sahauni!
waliokwenda kushaangaa wengi walitaka kujua huyu msaliti atasema nini kuhusu Chadema.

Wenye uwezo wa kukiua Chama cha Siasa ni Raia pekee lakini sio vyama Uchwara kama hivi act.
 
nikweli nawale jana walioenda kumsikiliza zito ni wananchi ambao wengi wao hubadilika pindi wakiujua ukweli.
nitofauti na wale wenye maslahi na chama binafsi.tulieni mlitaraji ZITO jana angekuwa kama ccm kuto pata watu.mwanzo mzuri kwa zito na ACT yake
 
Wa kulaumiwa kwa kilichoikuta CDM kwa kutengeneza mshindani mpya ni Mbowe na Washauri wake.

Na kusema kweli,Mbowe aishukuru Ukawa kwa kumpa lifeline, otherwise sasa hivi huu utulivu alioupata usingekuwepo.

Ni Ujinga ulioje kumfukuza Shujaa meawa Kutetea Maslahi ya Wananchi, halafu ukategemea chama chako hakitayumba, wakati unafahamu fika kwamba Umaarufu wa Chama chako unajengwa na thamani ya kazi za viongozi wake mbele ya Umma.

Katika Bunge la Samwel Sitta, Kazi za Slaa na Zitto ziliwavuta wananchi wengi sana kukiunga mkono chama chao. Sasa Shujaa kama Zitto unamuundia Zengwe, hivi Unadhani wananchi huko mtaani watakuamini wewe au Watamuamini hero wao?

Kingine CDM wasichofahamu ni kwamba wananchi wengi TZ hawana vyama, bali wanaangalia mtu gani kwa wakati huo ana ushawishi.

Siasa za kuitana wasaliti, pandikizi, TISS zinarhyme zaidi na wanachama wa chama husika na si wananchi huko kitaa, kwa sababu kitaa hawajali nani kasalitiwa so long as wao wanaamini mtu yule yupo for their interests na kazi zake zinaonekana wazi
 
Nnyambara, nkulumba mwana ghwa Kyala

That was stupid move ever done by CDM! katika siasa unaweza ukajifanya mjinga kwa kutaka kikubwa zaidi, unaangalia lengo kwanza na sio mtu mdogo kama zitto, they spend all money, efforts, time, and brains kucheza na zitto; wakamkomaza na kumkuza mno

they failed wakaenda kujiunga na ukawa another stupid move ever....hadhi ya chadema muda ule haikuwa ya kuungana na Mbatia ( mbunge wa kuteuliwa wa Kikwete) haikuwa ya kuungana na CUF!!

Hivi wale wanachadema wanaoona wanajua siasa, hivi kweli mnamsaidia Mbowe kufikiri?

kama ningekuwa mimi CDM na intelijinsia inaonyesha kabisa Zitto atahama, ingekuwa muda mzuri wa kuiua ACT kwa kumpa zitto ukaribu!!!!!! tangaza mmemsamehe, mpe cheo ambacho hakipo; ACT isingekuwa threat hivi!!!!!!!!!

CDM mnafikiri kwa akili zenu hizi za kipuuzi mnaweza kupewa nchi?

mnafikiri Kikwete alikuwa mjinga kumweka mwakyembe na mwandosya karibu? au kumpa uenyekiti wa tume ya katiba warioba? watu ambao ni maadui zake? he knowa politics sana zaidi ya mbowe na slaa!! hata kama tunamwona mzembe kwenye issues zingine, lakini anavyo deal na maadui zake yuko juu kikwete

ACT ni mtoto wa chadema. period kama ambavyo vyama vingine vilivyozaliwa kutoka CCM! lakini makosa ya kuanzishwa NCCR, CHADEMA, UDP, n.k na wale waliokuwa maadui wa Nyerere, CCM imebadilika na kwa miaka 23 sasa hatujaona dalili ya kuanzishwa chama kingine kutoka CCM ndio maturity

CCJ ambayo wanzilishi ni akina sita na Nape....tumeona hawa watu CCM ilivyowapaisha na kukiua CCJ kifo cha asili

CDM ni nani aliyewaroga??

ACT itakuwa itapaa ita shine, yes tuko nyuma yao wengi tu na wengi hawako humu! ni wananchi wa kawaida kabisa kila kona ya Tanzania!

Tangu 2009 mlipoanza kumtenga zitto, kimbilio lake likawa kwa wananchi na kusema yale ya wananchi.......mlipoanza kushindana naye, kwa matusi na sauti kuuu....likuwa mnashindana na wananchi na sio Zitto

Zitto aliwapa muda wa nyie kujitafakari na kujirudi, hamkufanya hivyo

ACT for life!!!
Mkuu Waberoya naona uko excited na picha za jana ukadhani uchaguzi ungefanyika leo ACT wangeshinda na Zitto angekuwa rais pole sana, Chadema ilicheza siasa za picha some decades ago ikaziacha leo iko field.

Umesema kumfukuza Zitto was a stupid move na Chadema kujiunga na Ukawa was a stupid move i think you are of the same.

Zitto amekiri mwenyewe alianzisha chama angali akiwa Chadema sasa unawezaje kuipuuza intelejensia ya Chadema? Unasema wangemsamehe kama CCM wanavyofanya mngejuaje kama Chadema ni tofauti na CCM?

Ni mwendawazimu tu atakayepuuza muungano wa Ukawa watu wenye busara walikuwa wanasubiri muungano huu, miaka ya 90 CCM walivianzishia vyama vya upinzani UDETA ukafa tofauti na UKAWA iliyoanzishwa na wapinzani wenyewe.

Nikuambie tu Waberoya Ukawa imejipanga ni jana tu imemaliza kupanga safu na timu za kampeni kwenye majimbo na moto soon utaihisi.

Back to ACT, ni kweli huwezi kukibeza kwa sababu kimeanzishwa kwa malengo yake ila msitegemee kupanda leo kesho mvune you have to spend some times ili kiwe na mizizi kama ilivyowachukua Chadema zaidi ya miongo miwili kuwa kama kilivyo, ila kama mnataka short cut angalieni msije kufa kwa presha baada ya uchaguzi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
.... Kama Ni Picha Za Kweli, Basi Zito Ameanza Vyema.

Ukitaka kuwashika waulize viwanja gani hapo songea maana nimeangalia but sijaona sehem ina fanana na na hizi picha pale songea
 
Wasiwasi wa Act kiongoz wenu anajua alichofanya ndo mana hamjiamini ccm hakiwez kuwapinga mana ni chama kimoja

Inanifurahisha sana kuona CCM wakishabikia zito songea wakati songea ni ngome yao. Hapa zitto anacheza offside trick kama anaipinga CHADEMA huku akiisukumizia CCM mataizo CCM itakuja stuka mwezi wa tisa too late . Msalani na wenzio muelewe jamaa anatafuta majimbo yaani kura na anatembelea maeneo yaliyo ngome za CCM maana anahubiri ujamaa sasa unaweza kuwa unatobolewa huku unacheka mwiba unazidi kuingia . Kama wewe ni analyst mzuri CCM iko tabuni

Jiulizeni Songea CDM ina majimbo mangapi na mitaa mingapi nakutakia nguvu zaidi bwana Zitto ingia huko majimboni Songea chukua viti
 
Hata mie ningekuwa huko ningeweza kwenda na rafiki zangu kumsikia atasema nini huyo. Yaani kumshangaa! Na watu wangeona tuko wengi kumbe wengine washangaaji tu
 
Waberoya

Ulicho andika hapo juu kimetuingia wengi sana na ni kweli tupu!Kumfukuza mtu aliyechaguliwa na wananchi wote wenye vyama na independents ni up u u zi wa hali ya juu!

Huwa nachukia sana diwani,mwakilishi au mbunge akifukuzwa maana unayemkomoa ni mpiga kura wake

CHADEMA wasimchukulie Zitto kimasihara
Kwani Zitto alifukuzwa ubunge na nani.
 
Last edited by a moderator:
Tunalijua hilo.

Si ndiyo kwa maana tunasema nchi hii kuna mfumo kristo??

Lakin mfumo kristo huo ndani ya ccm ni nafuu na tunapambana nao na matokeo yanaonesha very positive.

Sasa kuwapa nchi chadema ni kana kwamba tumewapa kanisa moja kwa moja.

Wewe huoni mapadre walivyojaa Chadema.

Ikulu msahau nyinyi wazandiki.

Ndio maana ukiwa mchambuzi utagundua kuwa ACT ni mwiba kwa CCM maana kuna wanaopenda mageuzi ila hawataki kushirikiana na wakristo sasa hawa watakimbilia ACT na kuiminya mabavu CCM . Kiujumla wana CCM watarajie kumegwa kwa kura zao maana ACT watakuwa wanafanya kile CUF ilichoshindwa kufanya . CUF ilijiweka wazi mno ACT wanajificha kidogo CCM mna kazi mpaka mje kulifahamu hili mtakua mmechelewa
 
Ongea uongeavyo hiyo ni ccm siyo ACT iliyosimama peke yake ccm walishakiandaa hicho chama walifikir zitto akienda Act bas wale wabunge vijana watamfuata saiv mmebaki kuwa watabir mala wabunge wengi watahamia sasa sijui watahaniaje wakiwa wabunge wakat bunge linavunjwa mwaka huu wanakua raia wa kawaida had waombe tena na hata hao wakienda chadema bado itateua watu makini na kauli hizo hazihitaj ufanunuz kwa nn act ipo.
Ipo kwa ajili ya kuisaidia ccm kwa kuvunja vyama vya upinzani mana kila siku zitto kauli yake kuna wabunge watakuja na mtawangoja sana.

Na kutuambia chadema imefika kwa ajili ya zitto na mkumbo labda wewe kwa mawazo yako kwani sisi hatuoni yanayofanywa na ccm? Hao ccm wangekuwa wasafi unafikir vyama vya upinzan vingepata nafasi? Sisi wenyewe raia ndo tunataka mabadiliko kuinusuru inchi ila sio kigezo cha mtu fulan tumeshaona na kusikia utendaji wa ccm mabadiliko ni ya watu sio mtu kama watu hawapo tayar hata uwe mjenga hoja vp bado utachemka tu

Pia unatuambia Act kitakuwa chama kikuu cha upinzabi lengo lake sio kuwaondoa ccm bali ni kuwa chama kikuu cha upinzani kwa hiyo furaha ya Act ni kuwa chama cha pili baada ya ccm na si kuwakomboa watanzania.
Ukituambia uongoz ulele watu walewale kwani zitto na kitila ni watu wapya na yule mama mwenyekit ktk medani za siasa? Halafu na ww unategemea mapya kwa hao lengo kuu la hao ni uongoz na usalit nani asiyewajua?

Huyu jamaa anaitwa kiongozi mkuu maana yake hachaguliwi na mtu! maana kuna mwenyekiti wa chama! huu usanii ni hatari sana!
 
Tunalijua hilo.

Si ndiyo kwa maana tunasema nchi hii kuna mfumo kristo??

Lakin mfumo kristo huo ndani ya ccm ni nafuu na tunapambana nao na matokeo yanaonesha very positive.

Sasa kuwapa nchi chadema ni kana kwamba tumewapa kanisa moja kwa moja.

Wewe huoni mapadre walivyojaa Chadema.

Ikulu msahau nyinyi wazandiki.
Mammalia naona umekuja kivingine
 
Nnyambara, nkulumba mwana ghwa Kyala

That was stupid move ever done by CDM! katika siasa unaweza ukajifanya mjinga kwa kutaka kikubwa zaidi, unaangalia lengo kwanza na sio mtu mdogo kama zitto, they spend all money, efforts, time, and brains kucheza na zitto; wakamkomaza na kumkuza mno

they failed wakaenda kujiunga na ukawa another stupid move ever....hadhi ya chadema muda ule haikuwa ya kuungana na Mbatia ( mbunge wa kuteuliwa wa Kikwete) haikuwa ya kuungana na CUF!!

Hivi wale wanachadema wanaoona wanajua siasa, hivi kweli mnamsaidia Mbowe kufikiri?

kama ningekuwa mimi CDM na intelijinsia inaonyesha kabisa Zitto atahama, ingekuwa muda mzuri wa kuiua ACT kwa kumpa zitto ukaribu!!!!!! tangaza mmemsamehe, mpe cheo ambacho hakipo; ACT isingekuwa threat hivi!!!!!!!!!

CDM mnafikiri kwa akili zenu hizi za kipuuzi mnaweza kupewa nchi?

mnafikiri Kikwete alikuwa mjinga kumweka mwakyembe na mwandosya karibu? au kumpa uenyekiti wa tume ya katiba warioba? watu ambao ni maadui zake? he knowa politics sana zaidi ya mbowe na slaa!! hata kama tunamwona mzembe kwenye issues zingine, lakini anavyo deal na maadui zake yuko juu kikwete

ACT ni mtoto wa chadema. period kama ambavyo vyama vingine vilivyozaliwa kutoka CCM! lakini makosa ya kuanzishwa NCCR, CHADEMA, UDP, n.k na wale waliokuwa maadui wa Nyerere, CCM imebadilika na kwa miaka 23 sasa hatujaona dalili ya kuanzishwa chama kingine kutoka CCM ndio maturity

CCJ ambayo wanzilishi ni akina sita na Nape....tumeona hawa watu CCM ilivyowapaisha na kukiua CCJ kifo cha asili

CDM ni nani aliyewaroga??

ACT itakuwa itapaa ita shine, yes tuko nyuma yao wengi tu na wengi hawako humu! ni wananchi wa kawaida kabisa kila kona ya Tanzania!

Tangu 2009 mlipoanza kumtenga zitto, kimbilio lake likawa kwa wananchi na kusema yale ya wananchi.......mlipoanza kushindana naye, kwa matusi na sauti kuuu....likuwa mnashindana na wananchi na sio Zitto

Zitto aliwapa muda wa nyie kujitafakari na kujirudi, hamkufanya hivyo

ACT for life!!!

Sasa Waberoya kaka yangu nikupe LIKE ngapi???kitufe changu cha like leo kitakukoma,good analysissafi sana mkuu!
 
Back
Top Bottom