Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Baraghashia za kumwaga.....lakini watu hawana msisimko
ACT-WAZALENDO ndo habari ya mjini, ukabila tupa kule utakuta kikako cha kamati kuu wote ni famolia moja........ alafu nimegundua wafuasi weng wa chadema si wafuatiliaji wanasubiri kauli toka kwa mbowe ndo maana yapo kama magogo hayana hoja ni kupinga tuu
Kigoma hiyo weka za leo
swissme
Mtu anayemsaliti mshenzi kwetu ni shujaa tulia dawa ikuingie kamanda.\
Nyie watu wa ACT wanafiki sana mnajifanya mnajua kuandika lakin hamna kitu yaani chama kimkumbatie mtu alie anzisha chama ndani ya chama? kama kumfukuza zitto CHADEMA itakosa kura za kwenye mitandao za watu kama nyie poa bora tusubiri miaka 20 kuliko kukaa na watu wasio waaminifu.ACT ikipata wabunge hata wawili tu najitoa JF.pICHA zenyewe zijieleza hicho sio kitu halisi
Chama kipi?
Songea ipi hiyo..??? Walikua viwanja gan??
Gamba kazini