Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

MZALENDO ACT: CHADEMA mbona mnaumia na ku2kana 2? kumbukeni siasa hizhiz za matus na vjembe Ndizo zilizowanyima madaraka 2010. hivi hamuoni aibu mna2kana na maneno yenu hayaangaliwi wala kujibiwa na hao ACT? Aibu yenu
 
\

Nyie watu wa ACT wanafiki sana mnajifanya mnajua kuandika lakin hamna kitu yaani chama kimkumbatie mtu alie anzisha chama ndani ya chama? kama kumfukuza zitto CHADEMA itakosa kura za kwenye mitandao za watu kama nyie poa bora tusubiri miaka 20 kuliko kukaa na watu wasio waaminifu.ACT ikipata wabunge hata wawili tu najitoa JF.pICHA zenyewe zijieleza hicho sio kitu halisi

najua inauma mkuu, jikaze
 
By Saed Kubenea:
KINACHOJIITA chama kipya cha siasa nchini – ACT Tanzania na ambacho kilizinduliwa jijini Dar es Salaam, Jumapili iliyopita, kimepoteza upya wake.Kimekumbatia ukale.
------- Viongozi wake ni wale walioshindwa kufanya kazi za kisiasa ndani ya vyamavingine vya upinzani, hususani Chadema.-Wapo waliofukuzwa kwa makosa mbalimbali, yakiwamo usaliti, kushirikiana namaadui wa chama, kushindwa kukisaidia chama kutimiza malengo yake;

-Na kusababisha migogoro huko walikotoka.
Wengine walijifukuzisha na hata kujifukuza wenyewe, baada ya kuonawameshindwa kutekeleza kile walichotumwa ndani ya Chadema, ambacho ni
kuhujumu kimbilio na ngome ya wananchi.
Wapo pia, waliogeuza uongo, ubinafsi, ghiliba na usaliti, kuwa ndiyo mtaji wao
----- mkuu wa kila siku wa kufanya shughuli za kisiasa.
Haya yanathibitishwa na hotuba mbalimbali za siku ya uzinduzi wa ACT; kauliza anayeitwa, “Kiongozi Mkuu wa chama,” Zitto Zuberi Kabwe;” pamoja na
“falsafa mpya ya chama;” jina la chama na kauli mbiu yake.
------ Kwa mfano, Zitto anasema, amejiunga na ACT kwa kuwa huko ndikokunakaoendana na kile ambacho yeye amekuwa akikipigania kwa miaka yote-tangu anze siasa. Amekiita, “maslahi ya taifa mbele dhidi ya kitu kingine
chochote.”
---- Amesema amejiunga na chama hicho kuwa ndiyo chama pekee nchinikinachokubaliana na Itikadi ya Ujamaa na kinaamini katika Falsafa ya Nyerere.
----- Akadai kuwa chama chake kimeamua kulirejesha Azimio la Arusha ambalo-liliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zaidi ya
miaka 40 iliyopita.
-------- Aidha, Zitto amesema, amejiunga na chama hicho kwa kuwa ndichokinachoamini katika msingi wa uadilifu na kimeweka miiko ya maadili ya-uongozi na kuhakikisha viongozi wake wote wanakubaliana nayo na kuisaini.
Amedai kuwa ndani ya ACT hakujengwi mtu, bali kunajengwa chama.
------- Kinachowaunganisha ndani ya chama, ni undugu wao na uzalendo wao.
--------- Akarejea tena wimbo wake wa miaka mingi, kuwa miaka 10 ya ubunge wake,ameangusha serikali mara kadhaa, ikiwamo mkataba wa madini wa Buzwagi na
ukwapuaji katika sakata la Escrow.
------ Ni muhimu kujadili hatua kwa hatua ili kubainisha uongo wa mwanasiasa huyu-na uwakala wa chama chake.
------ Kwanza, ni muhimu Zitto afahamu mapema anataka kuwadanganya,wanaomfahamu vizuri. Matendo yake na kauli zake, bado zimerokodiwa na-ndivyo vinavyotumika kuelezea ukweli halisi.
-------- Hakujiunga na ACT kutokana na chama hicho kuendana na dhamira yake ya-kupigania maslahi ya taifa. Siyo kweli.
-- Amejiunga na chama hicho baada ya kufukuzwa ndani ya Chadema kutokana-na tuhuma za usaliti na kushirikiana na maadui wa chama; naye kukiri kutaka
kufanya mapinduzi ya uongozi ndani ya chama – kinyume cha taratibu, katiba-na kanuni za chama.
Amejiunga na ACT baada ya mpango wake wa kuvuruga Chadema kukwama.
------ Amejiunga na ACT baada ya kushutukiwa na viongozi wenzake ndani yaChadema kuwa anatumiwa na anatumika.-Rekodi za mawasiliano yake na Jack Zoka, aliyekuwa naibu mkurugenzi wa-usalama wa taifa (TISS); na andishi waliloliandaa na wenzake – Prof. Kitila
Mkumbo na Samson Mwigamba – ambalo walilipachika jina la “Mkakati wa-Mabadiliko,” yanathibitisha yote haya ninayoandika.
--------- Kama Zitto asingefukuzwa Chadema, asingetoka. Asingedai kuwa Chadema-hakina demokrasia. Asingeeleza kuwa yeye ni mfuasi wa Nyerere.
Kama alikuwa haamini kuwa Chadema hakiwezi kutekeleza kile anachoamini,
---------- kwa nini alibaki ndani ya chama hicho hadi kufukuzwa? Kwa nini aling’ang’ania-uongozi – naibu katibu mkuu na naibu kiongozi wa upinzani bungeni? Kwa ninialikwenda mahakamani kupinga kuhojiwa usaliti wake?
---- Pili , kauli ya Zitto kwamba amejiunga na ACT kwa kuwa chama hicho ndiyo-pekee nchini kinachokubaliana na Itikadi ya Ujamaa na kinaamini katika Falsafa
ya Nyerere, haina ukweli. Imelenga kudanganya umma.
Azimio la Arusha, liliuawa na Halmashauri Kuu ya CCM kule Zanzibar, wakati
---- Nyerere akiwa bado hai. Aliwashangaa na hakuonyesha makeke. Kama kuna wa-kulirejesha, ni CCM walioliua.
--------- Zitto anaweza kusema tu kwamba “anadandia Azimio la Arusha” na siyo-kulirejesha, kwani hakuwa nalo katika ACT na hivyo hawezi kulirejesha ACT.
----- Aidha, Zitto mwenyewe siyo mjamaa; na kwa namna yoyote ile, hawezikufanana na Nyerere. Kujaribu kujifananisha naye, ni kujikweza. Hakukubaliki.
Nyerere alikuwa na maono. Lakini hakuwa msaliti. ----------------Alichokisema ndichoalichomaanisha. Alitenganisha yake binafsi na yale ya chama chake na rafiki
zake. Kwake, uongozi wa umma ulikuwa utumishi; siyo kujikweza au
kujinufaisha binafsi.
------- Katika kipindi chake chote cha uongozi na hata baada ya kung’atukamadarakani, bado alijitahidi kutojiingiza katika mgongano wa maslahi. Zitto
hajaweza na wala haitatokea kuweza. Mifano ipo.
--- Angalia mfano huu: Anayejiita “Nyerere” ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati-ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC). Lakini ni huyohuyo anaishi katika
nyumba inayomilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), huko Tabata jijiniDar es Salaam.
---- Kampuni ya Zitto inayoitwa Leka Dutigite Limited; ilichotewa zaidi ya Sh. 500-milioni na Shirika la Hifadhi ya Jamii ( NSSF ) na Shirika la Hifadhi la Taifa-(TANAPA).
Mamilioni haya ya shilingi za walipakodi yalilipwa kwa kampuni ya Zitto katika
------ mazingira yaliyosheheni rushwa, upendeleo na mgongano wa maslahi.Kwa mujibu wa nyaraka kutoka kwa Wakala wa Usajili wa Kampuni na Leseni
(BRELA), kampuni ya Leka Dutigite Limited, imesajiliwa 13 Agosti 2012.

-------- -Mmoja-wa wanahisa wake, ni kampuni ya Gombe Advisors Ltd ya Dar es Salaam.-Akaunti za kampuni hii ambazo ziliingiziwa fedha na mashirika hayo ya umma,
ni 0150357447800 iliyoko benki ya CRDB, tawi la Pugu Road, Dar es Salaam.
------ Wakurugenzi wa Gombe Advisors Ltd ni Zitto Kabwe, ambaye kazi yakeinatajwa kuwa mchumi na Raphael Ongangi ambaye amekuwa akijitambulisha
kama msaidizi wa Zitto.
------- Zitto, ambaye amekuwa mbunge anabanwa na Sheria ya Maadili ya Viongozi-wa Umma inayomtaka kutaja mali zake zote.
------ Sasa huyu ambaye anataka aonekane mwenye “Falsafa ya Nyerere,” hakuwahi-kutangaza maslahi yake katika mikataba ya Gombe Advisors Ltd, Leka Dutigite
Ltd, NSSF na Tanapa.
------ Kwa muda wote ameshindwa kujibu madai kuwa amefanya biashara na Tanapa-– shirika la umma analolisimamia akiwa mbunge na mwenyekiti wa PAC.
Si hivyo tu. Zitto anayetaka kujifananisha na Nyerere amekuwa akidaiwa
----- kulipiwa na taasisi za umma ambazo zinasimiwa na PAC, gharama za usafiri,chakula na malazi katika hoteli mbalimbali ndani na nje ya nchi.
--------- Zitto huyuhuyu amedaiwa kulipiwa gharama za malazi na chakula katika hoteli-ya Mount Meru, mkoani Arusha. Amesafirishwa hadi nchini Rwanda na kulipiwa
gharama za siku 10, wakati aliishi huko kwa siku tatu. Rekodi zipo.
---- Hadi hapo, iko wapi sura ya Nyerere katika matendo haya? Uko wapi uadilifuanaodai kuubeba? Havipo!
Tatu, Zitto amesema, ndani ya ACT hakujengwi mtu; kunajengwa chama; nakwamba kinachowaunganisha, ni undugu wao na uzalendo wa kutetea
ukandamizaji wa vyama vingine. Hili nalo siyo la kweli.
Kama ndani ya ACT hakujengwi mtu, kusingekuwa na mgogoro kati “wavamizi”
-------- wanaoongozwa na Zitto na genge lake; na wenye chama chao, wanaoongozwa-na Lucas Kadawi Limbu, mwenyekiti mwanzilishi wa ACT Tanzania.
----- Kama ndani ya ACT kuna demokrasia, ukilinganisha na huko walikotoka, Limbu-na wenzake leo hii, wasingekuwa mahakamani kupinga kinachofanywa na Prof.Kitila na Mwigamba.
---------- Kusingefanyika mapinduzi ya chama kwa kubadilisha katiba kinyemela; nembo-ya chama, falsafa ya chama, kadi za chama, nembo ya chama na jina la
chama.
-------- Kama ndani ya ACT kungekuwa na demokrasia, kusingefanyika jitihadamahususi za kufukuza waasisi ili kumuandalia mtu mmoja; na mwenye maslahi
binafi – Zitto Zuberi Kabwe – makazi ya kisiasa. Hata hicho cheo kipya chakiongozi mkuu wa chama kisingeumbwa.
------- Kungekuwa na demokrasi, Anna Elias Mug’way, kwa jina jingine, Anna Shadrack-Maghiya, angekuwa mwenyekiti halisi; na siyo kama alivyo sasa alikofanywa
kama boya linaloelea baharini baada ya kukata nanga.
Yako wapi majukumu ya mwenyekiti ikiwa anayeitwa kiongozi mkuu wa chama,ndiye mkuu wa chama kwenye mikutano mikuu ya chama taifa, Halmashauri
Kuu (NEC) na Kamati Kuu (CC)?
----- Yako wapi majukumu ya mwenyekiti ikiwa, kiongozi mkuu wa chama, ndiyeatakayekuwa mkuu wa siasa, mshauri na mwelekezaji kwa viongozi wote na
maafisa wa ACT-Tanzania?
------ Lakini kuna hili pia: Kama ndani ya ACT kungekuwa hakujengwi mtu; na kama-ugomvi wa huko walikotoka ni kutokuwapo demokrasia, mbona hakuna
utaratibu wa kugombea nafasi ya “Kiongozi Mkuu” wa chama?
------- Mbona mwenyekiti hana mamlaka ya kuagiza, kuteuwa; na au kuelekeza katibu-mkuu wa chama ama mfanyakazi mtumishi mwingine wa chama? Madaraka
yote yametupwa kwa kiongozi mkuu wa chama.
Iko wapi tofauti ya mfumo wa utawala wa kiongozi mkuu na utawala wa
kifalme?
------ Katiba ambayo Zitto na wenzake wanatumia inasema, pamoja na mengine,-kiongozi mkuu ndiye atateua wajumbe watano wa kamati kuu; ndiye mtoa
tamko rasmi kuhusu masuala ya sera na mtazamo wa chama; mtoa habari
--- ------mahususi kwenye mkutano mkuu, NEC na CC na masuala mengine ya kitaifa na-kimataifa.
Kitila na wenzake wanaimba kuwa Zitto sasa ndiye atakuwa “nuru na taswira
ya ACT-Tanzania ambayo wamegeuza jina na kuita ACT-Wazalendo.”
---- Katika mifumo ya kidemokrasia, “nuru na taswira” ya chama inakuwa mtu-mmoja? Ni kitu gani hasa? Ni “zidumu fikra za Zitto?” Fikra zipi” Ni
wanachama kumwacha Zitto awapeleka anakotaka? Ni ufalme wa Zitto?
---- Inawezekana kuwa hilo ndilo alikuwa anatafuta katika Chadema – na alikirikuandaa – kupindua uongozi na watendaji ili achukue chama na kubaki dikiteta
mkuu katika mfumo anaouita wa kidemorasia?
Yako wapi majigambo ya kupigania demokrasia? Kwa hili, hata wale ambao
------ Zitto anatuhumu udikiteta, hawajawahi kujiundia uungu wa aina hii.
--------- Nne, Zitto ameendela kudai kuwa katika miaka 10 ya ubunge wake,ameangusha serikali mara kadhaa. Akataja mkataba wa madini wa Buzwagi
kwa kusema waziri wa nishati na madini alijiuzulu; na ukwapuaji katika sakata
la Escrow.
----- Wote huu ni uongo mwingine mchafu. Hakuna waziri wa nishati na madinialiyejiuzulu kwa sababu ya kusaini mkataba wa madini wa Buzwagwi. Hakuna.
---- Aliyekuwa waziri wa wizara hiyo na aliyesaini mkataba wa Buzwagwi, Nazir-Karamagi, alijiuzulu kutokana na kashifa ya Richmond iliyomg’oa waziri mkuu
Edward Lowassa. Siyo Buzwagwi.
---------- Kuhusu kashfa ya Escrow, kamati ya PAC iliyoongozwa na Zitto, haikufanya
uchunguzi. Ilikabidhiwa ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
----- Hesabu za Serikali (CAG) ili iisome na kutoa maoni. Basi.-Kwenye sherehe ya kumuaga CAG, Ludovick Uttoh, mapema kabla ya-mshikemshike wa Escrow kuanza, spika Anne Makinda alisema, baada ya
kosoma ripoti, kuwa bunge lingekuwa linaendelea, “wengi” wangezama.
------- Akamsifu Uttoh kwa kazi nzuri ya kuibua kashfa.
Sasa ambacho Zitto anajivunia kufanya katika kashfa ya Escrow ni kipi? Rekodi
zipo. Kazi afanye CAG, sifa ajilundikie Zitto? Huu siyo uandilifu; lakini pia ni
uongo wa kijinai.
------- Haya yameelezwa mara nyingi na yataendelea kuelezwa ili hatimaye, hata wale
wachache waliosalia ambao hawajamfahamu vema Zitto, nao waweze kupata
 
Nitaendelea kuamini ACT imeitikisa CCM Songea kwani wanachama wake wengi ndo walohudhuria.Bila kujijua tawi lenu linamaliza mizizi ya CCM.
 
Baraghashia za kumwaga.....lakini watu hawana msisimko

attachment.php
Kwi kwi kwi kwi mpaka unatia huruma usichoke kamanda endelea kupambana na ACT vipi tena madai ya usaliti yameisha sasa hivi vibaraghashia.
 
Kama kuhama chama kimoja kwenda kingine ni usaliti basi kina Lisu,Lema,Prof Safari, marando na wengine waliohamia CDM ni wasaliti wa vyama vyao, kama kudai uzalendo ni Usanii, vivyo hivyo kwa vyama vingine kujidai vina malengo ya kuwatetea wananchi ni USANi pia kwa sababu hatuoni wakiyaishi yale wanayoyadai mf walikuwa wanalalamikia watumishi wa uma kujipa posho nyingi lakini wabunge wengi ndio wa kwanza kupiga kelele za madai ya posho ni Zito tu ndio alikuwa hapokei zile posho.kama ACT ni wasanii basi wa kwanza ni hawa CDM na wenzao ambao wanapokea ruzuku kutoka serikali, badala ya kutumika kuwasaidia wananchi wanazitumia kutengeneza Tshirts na kulipana posho za vikao.....
 
Naijua songea vizuri sana.wamekwenda tu kuangalia na pia ccm wamepeleka watu wao.ukijumulisha wana ccm na watu wachache wanaomfuata.kiujumla kwa mtu mwenye akili nzima unafikiri zitto kuanzisha chama hiki ndicho kitamfanya haitoe ccm madarakani kwenye uchaguzi mwaka huu??.zitto anajua au anatambua kuwa watanzania wamechoka na utawala wa unaobebana ,wa kirafiki,husiojali kuna watoto wanakosa fee ya kwenda chuo kikuu huku watoto wao wakiwasomesha nje kwa pesa za serikali?.zitto hameshindwa kujua au kuacha kiburi kama yeye ni zaidi kwenye chama na kujikita kuunganisha nguvu kuing'oa ccm kama walivyofanya kenya??.Nini anafikiri???.Mimi mwenyewe kuna vitu sielewani na chadema na pia ukawa lakini ni naangalia nini cha muhimu kwenye kipindi hiki cha mpito.Hakuna mtu hasiojua uozo wa ccm ,sitaki poteza muda kuelezea kila kitu.wameshindwa kupelekana mahakamani ,mahakama ni yao ,wewe iba kipande cha kuku kwa mama ntilie kinacho cost sh 300.utaona nguvu kubwa inayotumia zaidi ya sh 10,000.inatamtafuta kijana aliyeiba.Naelezea hivi sio namtetea mtu yeyote anaiba hata ikiwa kitu kidogo hapana ,nimetolea mfano tu jinsi hii serikali ya ccm imefikia.kwa hiyo tuache tofauti zetu zote,tumtazame adui yetu ni ufalme wa chama cha mafisadi ccm kinaondoka madarakani iwe hisiwe.Zitto wewe ni smart lakini kwa hili umeonekana ni sio smart ,ningekupa au kukupongeza ungekaa kimya na kuomba msamaha na kujiunga kwenye vile vyama wilivyounda ukawa ili upeleke nguvu.Na kufanya kazi kwa ajili ya kuiondoa ccm ,sio unavyofanya sasa.Pole sana kwa hiyo style yako.Muda ni huu hatuna muda mwingine kuondoa ccm.piga simu kijijini kwako ,tuma msg kama 100 kwa watu tofauti ,tusiwaachie viongozi wa UKAWA tu,peleka bendera zote tatu.utakuwa umeshiriki vizuri kuing'oa ccm.Tumwache zitto aendelee kupotea

Kwa sasa tumechoka kusikiliza orodha ya kero, bali tunahitaji mtu/chama kitakachotuambia kitafanya nini kuondoa kero zilizopo,kuorodhesha matatizo ni jambo rahisi sana tena sana, bali kuyaondoa matatizo ama kero hizo ndio jambo la msingi ambalo sisi sotekama watatnzania sasa tunapaswa kuwaambia hawa wanasiasa kwamba orodha ya matatizo inatosha, sasa tunataka ufumbuzi period...
 
Huyu jamaa anaitwa kiongozi mkuu maana yake hachaguliwi na mtu! maana kuna mwenyekiti wa chama! huu usanii ni hatari sana!

Soma makala ya Dr kitila mkumbo utagundua nini maana halisi ya kiongozi wa chama na inchi zinazopractise mfumo huo Africa na ulaya.
 
Kwenye mkutano wa chama cha ACT Songea, kulikuwa na fomu zinazunguka huku wahamasishaji wakiwahimiza wananchi kuandika jina pamoja na namba ya simu kwenye fomu hizo.

Viongozi waliwaambia wananchi waandike jina na no. kwa usahihi kwa kuwa wanakwenda kushughulika nalo. Nilichojiuliza wanakwenda kushughulika nazo kwa maana ya kuwawezesha kiuchumi ni kwa maana ipi?

Kama kuna kiongozi wa ACT humu anisaidie tafadhali..
 
Ndo kwao umeshakuwa mwanachama hivyo, majina hayo yatakusanywa na watasema wewe ni mwanachama, ZZK atatumia majina hayo kusema kuwa ziara yake imepata wanachama kadhaa ili akatoe ripoti kwa waliomtuma
 
Back
Top Bottom