Picha: ACT-Wazalendo Kigoma mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kigoma mjini leo

Tulia ikuingie mkuu jua kuwa haina mabega
Niko hapa Kigoma Zitto ni msaliti tu ashukuru kabouru kumsaidia wana CCM hakuna mwanachadema hapo vipi kwa mfuruki haendi
 
Dhambi ya dj na babu yakumuua chacha wangwe imeandikwa kwa kalamu ya chuma
CKUJUA KUMBE ANAPAMBANA NA CDM?Aise njaa n mbya sna.laana ya wtz haitamwacha huyu yuda ASKRIOTI.ZAMBI YAKE IMEANDIKWA KW KALAMU YA SHABA.
 
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo

Wazalendo wanaifuta CCM,ZZK simuelewi katusaliti wa TZ tuliomtegemea badala ya kufuta CCM ye anafuta Upinzani
 
Kwani ACT ni chama tawala? Zitto kajiunga na ACT na anafanya kazi ya siasa CHADEMA mlivyomsusa na LISU kutangaza kumfukuza uanachama mlitegemea arudi Mwandika kushika jembe? wacha awashughulikie mtambue umuhimu wake na bado
 
Ni katika muendelezo wa kutambulisha azimio la Tabora
attachment.php

attachment.php

attachment.php


Zitto utawafanya hawa Bavicha wawe machizi.
 
Last edited by a moderator:
Wale wazee wa Mbowe waliomchukulia fomu za kugombea Uenyekiti wapo wapi makamanda? tuliambiwa wanatoka Kigoma.

Teh teh teh
 
Kwani ACT ni chama tawala? Zitto kajiunga na ACT na anafanya kazi ya siasa CHADEMA mlivyomsusa na LISU kutangaza kumfukuza uanachama mlitegemea arudi Mwandika kushika jembe? wacha awashughulikie mtambue umuhimu wake na bado

Upo sawa ila India chili na tuneup lisu
 
Lazima aanze na niny mnaojiona miungu watu mnaominya demokrasia huku mkijiita democrasia

Hivi tuseme ukweli tu akitokea mtu kwa sasa ndani ys chagadema kuwa anagom

Mkuu punguza kurusha mawe ya gizani...utajeruhi wengi.
 
CHADEMA mmeyataka wenyewe,ona sasa hamshauriki dogo yuko tayari kujiunga na UKAWA.itakula tengeru hii.
 
Chadema nyie wenyewe ndiyo mmemfukuza Zitto mlitegemea Zitto aache siasa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom