Picha: ACT-Wazalendo Kigoma mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kigoma mjini leo

Mavazi yao kama yanafanana na CCM kwa umbali vile!

Haaa kujivua akili tabu sana,mpaka mavazi kuhalalisha uccm.tanzania tunashindwa kujenga siasa safi kwa aina hii ya watanzania,ndiyo maana leo hii tunashabikia mafisadi kuchukua nchi wakati hawajawahi kutueleza kwa uwazi kwenye tuhuma zao.
 
Huyu katudanganya hata kama kuna mambo tunakubaliana.katufanya mazuzu wa siasa.kata mia mbili ni sawa kweli? Usemaji huu unakuwa kama wa.jerry muro yanga,masau bwire au manara simba?ushabiki mtupu.

Upo sahihi......ametia chumvi mnooo
 
Kama mfalme vile....,hivi hiki chama ndo kinaanza au ni strategies tu?
 
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo

kwa hiyo ccm itafutwa lini? au kaziya hicho chama ni kupambana na chadema tu?
 
Viongozi miambili wa chadema kutoka kata zote mkoa wa Kigoma wamevua gwanda na kuvaa uzalendo.

Yeye alisema kata mia mbili!!! Ndio maana tukamuambia ametia chumvi
 
tetes iliyozagaa nikua ktk nafas ya urais watamsimamisha mgambo sele.
 
Haaa kujivua akili tabu sana,mpaka mavazi kuhalalisha uccm.tanzania tunashindwa kujenga siasa safi kwa aina hii ya watanzania,ndiyo maana leo hii tunashabikia mafisadi kuchukua nchi wakati hawajawahi kutueleza kwa uwazi kwenye tuhuma zao.
Dahh, Hili jamaa limeka kisaliti kweli!
 
Lazima aanze na niny mnaojiona miungu watu mnaominya demokrasia huku mkijiita democrasia

Hivi tuseme ukweli tu akitokea mtu kwa sasa ndani ys chagadema kuwa anagom
 
Back
Top Bottom