slimhamimu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 327
- 114
Yeye alisema kata mia mbili!!! Ndio maana tukamuambia ametia chumvi
Mkuu alipitiwa msamehe.
Yeye alisema kata mia mbili!!! Ndio maana tukamuambia ametia chumvi
Ni katika muendelezo wa kutambulisha azimio la Tabora
![]()
![]()
![]()
tetes iliyozagaa nikua ktk nafas ya urais watamsimamisha mgambo sele.
Wamepewa barua ya kujiunga nao wamegoma sasa uwafanyeje?Hata wakiwachukua viongozi wote wa chadema tanzania nzima bado hawataweza kukamata dola,kama ndiyo lengo lao,ila kama lengo ni kupambana na chadema basi wataweza,chadema yenyewe bado haijaweza kupata 30% ya nafasi za uongozi nchi hii,nyie badala mgombee kula katika sahani kubwa nyie mnanyanganyana kidogo kilichopo kwenye kijiko cha mwenzako,ambacho hata ukipewa chote hutashiba!!! Shit!!
hahahahaaaa........ZZK siku akiukosa ubunge wa hapa KIGOMA atazima hatoamini macho yake, time will tell
Kuwa anagombea urais kabla ya bos mwenye chama kibabu atapewa notice ya siku 7 kufukuzwa chama.....ndo maana had sasa hakuna mende wala mjusi kusema ajitokeze kugombea urais...amesubiliwa babu atakavyo na apendavyo ndipo atangaze
Kanawe uso kisha urejeeCKUJUA KUMBE ANAPAMBANA NA CDM?Aise njaa n mbya sna.laana ya wtz haitamwacha huyu yuda ASKRIOTI.ZAMBI YAKE IMEANDIKWA KW KALAMU YA SHABA.
CKUJUA KUMBE ANAPAMBANA NA CDM?Aise njaa n mbya sna.laana ya wtz haitamwacha huyu yuda ASKRIOTI.ZAMBI YAKE IMEANDIKWA KW KALAMU YA SHABA.
Ndoto iyohahahahaaaa........ZZK siku akiukosa ubunge wa hapa KIGOMA atazima hatoamini macho yake, time will tell
Hilo litawaponza niujinga kukalia chuki na kejeli wakati wenzie wakifanya yao,Wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi yale,mkutano wa watu hao wote wana ccm?hivi hatuwezi kuona madhara ya huyu bwana mdogo?ngoja watu wajifariji tusubir oktoba tupeane tathimini.
Huyu katudanganya hata kama kuna mambo tunakubaliana.katufanya mazuzu wa siasa.kata mia mbili ni sawa kweli? Usemaji huu unakuwa kama wa.jerry muro yanga,masau bwire au manara simba?ushabiki mtupu.
Yeye alisema kata mia mbili!!! Ndio maana tukamuambia ametia chumvi
Ndoto iyo