Hilo litawaponza niujinga kukalia chuki na kejeli wakati wenzie wakifanya yao,
CHADEMA wakiona hivi wanabaki kulaumu tu maamuzi mabaya ya MBOWE na wapambe wake.
Bado mtaendelea kujuta sana!
Nabii wako Mzee Slaa, kamkimbia Zitto kwenye mdahalo.sijawahi kukutana na post yeyote inayoonyesha CDM wanamjutia ZZK zaidi yuko na wale wanaofanana na Wewe kifikra
Anaecheka sana kulia kwajaAzimio za Tabora teh teh teh
Zitto ni kisiki haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa................ukiona hasira zimekukaba kula ndimu ulaleeeeeeeeeeeee matusi hapana............. twenzetu kigoma
![]()
Hujawai kwakuwa hakuna nafasi ya yeyote kumlaum MBOWE ukijaribu inakula kwakosijawahi kukutana na post yeyote inayoonyesha CDM wanamjutia ZZK zaidi yuko na wale wanaofanana na Wewe kifikra
Hata kama tunakubaliana na baadhi ya kile anachofanya zitto bado wanatudanganya kwa hao viongozi mia mbili,tuwe realistic,hicho kitu kitaonyesha taswira kwamba yalikuwa mapandikiz ya zitto na hawakuwa na mapenzi na sera za chadema.unajua waleta mada wanadhan wanakisaidia chama chao kumbe wanaharibu taswira kwa watu makini.viongozi mia mbili kutoka kata zote?zitto badili timu!
Rumenyela ndo nani?
Unafiki huuTatizo huyu jamaa ni nyota hata ukijaribu kupambana naye utaishia kuumia tu moyoni.
Akili ya Zito ukichanganya na ya CCM jibu ni kuua upinzani.Ila wameshachelewa mwaka huu hakuna cha zito wala cha ka ccm lazima tuwazike wote kaburi moja october.Zerikali imechoka hata wananchi tumeichoka.
Mavazi yao kama yanafanana na CCM kwa umbali vile!