stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Rip chagadema
Huyo ni ccm haitaji mpaka uende chuo kujuaaaa!!!!
Kwa hiyo ACT imeanzishwa kupambana na Chadema?Hicho chama muda umefika kibaki UCHAGANI TU maana hakuna jinsi sasa
Baada yakuzomewa nakuabikika kanda ya Ziwa ameamua arudi kwa waha wenzake ...sijui kasomba watu nafuso afu katupia picha chap chap mtandaoni...ninavoona yupo kwenye last stage ya kufa anarusharusha mguu akate roho ya kisiasa ... Hata haandikwi tena magazetini na hamna anayevutiwa nastory zake hata angejaza watu milionni. Naona ameshapata matatizo yakisaikolojia

Hata wakiwachukua viongozi wote wa chadema tanzania nzima bado hawataweza kukamata dola,kama ndiyo lengo lao,ila kama lengo ni kupambana na chadema basi wataweza,chadema yenyewe bado haijaweza kupata 30% ya nafasi za uongozi nchi hii,nyie badala mgombee kula katika sahani kubwa nyie mnanyanganyana kidogo kilichopo kwenye kijiko cha mwenzako,ambacho hata ukipewa chote hutashiba!!! Shit!!
wao ndo walianza kumnyang'anya kilichokuwa kidogo, afanyeje, nadhani msg sent kuwa Lema ngome yake Arusha, hata akimtukana ZZK hafukuzwi haonywi na anabaki kipenzi cha Mbowe na wana cdm arusha, lakni ZZK ngome yake naye ni kigoma kama ilivyo pemba ngome ya cufHata wakiwachukua viongozi wote wa chadema tanzania nzima bado hawataweza kukamata dola,kama ndiyo lengo lao,ila kama lengo ni kupambana na chadema basi wataweza,chadema yenyewe bado haijaweza kupata 30% ya nafasi za uongozi nchi hii,nyie badala mgombee kula katika sahani kubwa nyie mnanyanganyana kidogo kilichopo kwenye kijiko cha mwenzako,ambacho hata ukipewa chote hutashiba!!! Shit!!