Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway

Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway

Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
Yaani hujui hata limits za forum Nenda jukwaa LA siasa wewe hata kitongoji huwezi kuongoza Eti unampinga mbowe juhudi zake ndo zimefanya tukaona tumbua tumbua bila yeye hayo yasingekuwepo bigup mbowe
 
Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja
ambalo sitapenda upitwe mtu wangu,
unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila
hili likakushangaza daraja hili litajengwa
chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko
kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya
mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja
ilo.
Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya
miaka saba mpaka nane ingawa bado
wanafanya tafiti za kigeografia na pia
daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka
100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa
safari kama za hospitali ambazo
inapekelekea watu kupanda helikopta.
Mradi huu utakua wakwanza duniani
kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.

View attachment 371527
View attachment 371528
View attachment 371529
View attachment 371530
View attachment 371531
View attachment 371532
View attachment 371533
View attachment 371534

Source: Millard Ayo.
Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway - millardayo.com


Siamini kama daraja linaweza kuwa chini ya maji, ila nadhani ni TUNNEL...linapita chini ya maji (au kwenye maji)....Ukienda HAMBURG nchini Ujerumani unaweza ukapita kwenye tunnel hiyo na wala usigundue kuwa uko chini/au kwenye maji...TUNNEL hiyo ya Hamburg imepita kwenye mto...siyo ndefu sana lakini ipo, na wenyewe huona ni kitu cha kawaida tu...
 
Back
Top Bottom