Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway

Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway

Open school

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
1,575
Reaction score
2,440
Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja
ambalo sitapenda upitwe mtu wangu,
unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila
hili likakushangaza daraja hili litajengwa
chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko
kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya
mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja
ilo.
Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya
miaka saba mpaka nane ingawa bado
wanafanya tafiti za kigeografia na pia
daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka
100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa
safari kama za hospitali ambazo
inapekelekea watu kupanda helikopta.
Mradi huu utakua wakwanza duniani
kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.

1469556833420.jpg

1469556846449.jpg

1469556859006.jpg

1469556868994.jpg

1469556881135.jpg

1469556908578.jpg

1469556935490.jpg

1469556956510.jpg


Source: Millard Ayo.
Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway - millardayo.com
 
Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
 
Je kivuko ni nini? Hilo haliwezi kuitwa kivuko?
Kiunganishi je?

Kasie.
Ukisoma news ya Kiingereza Imesema Floating tunnel = Handaki la Kuzamishwa chini ya Maji ieleweke zaidi bila maswali mazito tuite au mimi naweza iita Barabara ya mrija wa zege ulio zamishwa kidogo chini kwa chini ya maji. mrija huo utajengwa kutokea mji A kwenda Mji B

Kivuko ni Ferry actuary ni aina ya melikebu ambayo huvusha watu,mizigo na Vyombo vya Usafiri kutoka pwani moja na kwenda pwani nyingine haswa kama sehemu ya nchi kavu iliyotengenishwa na maji na kawaida hayo maji yake huwa hayana mawimbi makubwa maana ferry au Kivuko huwa hazina uwezo mkubwa wa kustahimili mawimbi makubwa ya Maji...
 
Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
Kama inakuuma tia Maji itapoa tu kama Nduguzo Wahindi wakishakula Pilipili huenda kutawadha na maji kisha huweka Barafu Jaribu mkuu utapoa
 
Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
?????????
 
Back
Top Bottom