Picha 5: Muonekano wa Flyover 5 kali zaidi duniani

Fly over hujengwa pale kunapokuwa na changamoto ya msongamano wa magari barabarani. Sio mapambo, hivyo isikuume kwa sababu sisi hiyo changamoto haikuwepo na kama ilikuwepo basi ilikuwa ni ndogo! Miaka ya 80, daladala na gari zilikuwa chache kiasi tulikuwa tunaweza hata kuzikariri!
Kweli kabisa kila kitu kinakwenda na mahitaji 1965 jumla ya magari yote Dar hayakuzidi 300 na population isiyozidi laki tatu ,sasa flyover na ma interchange yakazi gani? Cha muhimu kilikuwa ni kutenga reserved space kwa upanuzi wa barabara na miundombinu mingine wakati muafaka utakapofika!
 
Inatakiwa elimu ya kutosha sana sababu hata pale mwalim nyerere bridge ukimaliza daraja na kutokea huku kurasini kuna sehemu ya kutokea mjini na uhasibu wengi wanapotea pale
Sure! Mimi nilikuwa mmoja wao, nilitokea kigamboni nia nirudi mjini, nadhani sikuwa mwangalifu kusoma vibao vya maelekezo nikajikuta naelekea uhasibu ikanilazimu kupiga u-turn kurudi luckly I easily found my way to city center. Ila sidhani issue ya kupotea inahitaji mass education, in life we get lost only once and that is part of learning!!
 
izo zigzag za kwenda wapi umeniuliza ki vip?

kama umejenga flyover tazara, magari yanaenda mjini, airport, ubungo na chang'ombe bila kusubiriana, sasa hizo zigzaga zitakuwa za kwenda wapi? au zitakuwa za mapambo!
 
kama umejenga flyover tazara, magari yanaenda mjini, airport, ubungo na chang'ombe bila kusubiriana, sasa hizo zigzaga zitakuwa za kwenda wapi? au zitakuwa za mapambo!
ha haa we hujanielewa kumbe kabda kwa sababu nimelitaja neno la zigzaga ni ivi nilichomaanisha kwa mfano inawezekana ikatengenezwa kitu cha uendekevu si kila sehemu iwe na fly over lakini yawezekana jiji lina njia nyingi na si sabasaba na si chang'ombe pekee aya nakutolea mfano maeneo hayo hayo uliyotaja pale sokota kuna mataa na kilwa road taifa kuna mataa inawezekana ikaongezewa kwa juu floor moja ikiishia mataa ya kiwanda cha bia na kipande cha apo kuanzia tazara kikaendelea mpaka mataa ya buguruni kukunja lozana.....ama ipitilize mpaka mataa ya kuelekea tabata

kama ni muekewa utakuwa umenielewa hyo ni imagnation ambayo yaweza kufanyika
 
Back
Top Bottom