Ww ni mnafiki mtasubiri sana kwa diamond, huyo jamaa kashafika mbali kilichobaki ni chuki yenu tu lkn Mungu alishamuinua mtachemka tu kenge nyie mnakuwa kama vijana wa chadema wanaolipwa kukosoa kila jambo linalofanywa na serikaliAma kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Kuona picha mbili haimaanishi watu ni wawili.Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
tutakosaje, ililetwa tusiseme ila tunatisha hatukosi kasoroWatu hamkosi cha kusema.
Toka huko hayo ni uhai amejishtukia staa ksma yy kutumia maji hayo badala ya kilimanjaro.Wasingetoa hayo maji vile vikaratasi ingeonekana kama wanayapromote ?? Kweli mond unaijua hela
Na wamesema kesho mlangon hawatauza ticket so wakiuzia mlangoni shoo ishabuma watu mlale tuHalafu anazouza yeye ni laki 1!
Mhhhhhh hebu tusubiri hiyo kesho...huenda mambo yakiwa mabaya wataziuza kwa bei ya taifa elfu 10.
Na unapiga nae picha kabisaNdio nini sasa yani ununue tiketi kwenda kumuona anae kuuzia tiket ni umbumbu wa kiasi gani huo?!
Getini hamna ticketTiketi zimekwisha, nasubiri getini labda, nitapata, ya kununua
Huhuhu we jamaa ni muhujumu uchumiShow si itakuwa beach? Mi ntakuja na mtumbwi, wenye buku mbili mbili mnitumie PM.
Elfu 30 sio ndogo usawa huu wa Magu, na hao wachache waliofika hapo wameenda kupiga selfie tuPamoja na kwamba kaingia mwenyewe mzigoni mambo sio mambo mkuu!
Muitikio ni mdogo sana!
Ni Dec 23, 2016 ambapo mkali Diamond Platnumz pamoja na Team yake nzima ya WCB walifika Mlimani City Mall kuziuza tiketi kwaajili ya show yao iitwayo Wasafi Beach Party itakayofanyika Dec 24, 2016 Jangwani Sea Breezy Dar es Salaam.
Diamond Platnumz alikuwa akiuza tiketi za VIP shilingi 100, 000/= huku Rayvanny akiuza tiketi za kawaida kwa shilingi 30,000/= na hizi ni baadhi ya picha kutoka Mlimani City Mall.
.Rayvanny akimuuzia tiketi shabiki alifika Mlimani City Mall
.
.
.
.
.
.
.
.
.Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam
.Team nzima ya XXL ya Clouds FM
.
.Harmonize
.Rich Mavoko
.Rayvanny
.(Kulia) Diamond Platnumz akiwa na Dj R J
.Queen Darling
Povu linakutoka hivo utadhani wewe ndiye diamond? Au we salamWw ni mnafiki mtasubiri sana kwa diamond, huyo jamaa kashafika mbali kilichobaki ni chuki yenu tu lkn Mungu alishamuinua mtachemka tu kenge nyie mnakuwa kama vijana wa chadema wanaolipwa kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali
Wanaume wa dar ni shida sana