Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,761
Ni Dec 23, 2016 ambapo mkali Diamond Platnumz pamoja na Team yake nzima ya WCB walifika Mlimani City Mall kuziuza tiketi kwaajili ya show yao iitwayo Wasafi Beach Party itakayofanyika Dec 24, 2016 Jangwani Sea Breezy Dar es Salaam.
Diamond Platnumz alikuwa akiuza tiketi za VIP shilingi 100, 000/= huku Rayvanny akiuza tiketi za kawaida kwa shilingi 30,000/= na hizi ni baadhi ya picha kutoka Mlimani City Mall.
.Rayvanny akimuuzia tiketi shabiki alifika Mlimani City Mall
.
.
.
.
.
.
.
.
.Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam
.Team nzima ya XXL ya Clouds FM
.
.Harmonize
.Rich Mavoko
.Rayvanny
.(Kulia) Diamond Platnumz akiwa na Dj R J
.Queen Darling