Phys- D, Chem- E, Biol- E, Naomb Ushauri

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Naombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 14 combination ya PCB kidato cha 6.

GS - F
Physics - D
Chemistry - E
Biology - E
BAM - D

Ataweza kutapata MEDICAL college MD ?

Tunaomaba ushauri tafadhali ?
 
Naombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 14 combination ya PCB kidato cha 6.
GS - F
Physics - D
Chemistry - E
Biology - E
BAM - D
Ataweza kutapata MEDICAL college MD ?
Tunaomaba ushauri tafadhali ?
Ndio, Ifakara au Mbeya sijuwi, anza na Medical Assistant, maliza, piga job kidogo kama mwaka au 2, apply Muhimbili, endelea na kusoma udaktari kijana...
 
CAM college patamfaa ila kuna vi milioni kadhaa hapo lazima vihusike
 
Siyo mbaya sana japokuwa mimi nilisoma PCM nikabashite niliamua kwenda cho cha dip nikasoma miaka 3 kisha nikapata kazi 6K kwa mwezi ila sasa nilichokuwa natamani nipate degree tu basi ndo nasubiri nianze kuapply nitajisomesha maana nina hela nishajipanga
 
Amejitahidi ila kwa vyuo vya serikali hatoweza kupangiwa MD labda ajaribu vyuo vya private
 
Siyo mbaya sana japokuwa mimi nilisoma PCM nikabashite niliamua kwenda cho cha dip nikasoma miaka 3 kisha nikapata kazi 6K kwa mwezi ila sasa nilichokuwa natamani nipate degree tu basi ndo nasubiri nianze kuapply nitajisomesha maana nina hela nishajipanga
Usimfariji...mwambie ukweli kwamba matokeo ni mabaya ..akasome allied health sciences
 
Back
Top Bottom