Mkuu C6 kwa maelezo yako hapo juu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya photoshop kabisa hawezi kufanikiwa kufika hata step 2.
ni. kweli kuna. baadhi ya step za mwanzo karuka kama kuset size ya canvas ,background n.k. Ila sio lazima utumie CS 5 hata CS 3 yafanya kazi
nipatie hii Software Program gani inaitwaje?.@C6
kuna nyingine nimejaribuView attachment 63624
hata sijaelewa, huu ukilaza nao huu..........