Photoshop [EXCLUSIVE]

Photoshop [EXCLUSIVE]

We umeeka maneno na picha za kupaste au hadi picha zako?

Sijaweka maneno tu, hizo picha ziko edited, mfano hilo tangazo nililo tengeneza ka la mpesa, huyo dem na huyo mtoto nimewatoa kwenye background tofaut na huyo mtoto alikuwa kaangalia kulia yuko sehemu tofauti na unayo iona hapo, nlichokifanya nkawaweka background znazoendana na nachotaka kionekane huyo mama aonekane ofisin mtoto ka yuko mazingira flani ya shule.
Hiyo ya dj nilicho chukua ni huyo dj na mashine tu hyo anayo scrtch, naye nkamuedit aendane na nalotaka fanya yaliyobaki unayo yaona kazi ya photoshop yote, hiyo ya fasheni shoo hyo ni kazi ya photoshop mwanzo mwisho na haikukaa kama nlivyotaka imekuwa kama chafu chafu flani na huyo mwanaume anayetembea nmechemka kivuli chake maana nimeshindwa weka kivuli cha karatas aliyo shikilia hivyo imeyoka na u light blue kwenye kivuli
 
hizi pics ni za like two years ago, siku hizi natumia mfumo unaofanya image zangu ziwe na sizes kubwa mno (na nipo on a modem, speed za ajanu), nita upload psds nikiwa offisini
am more into texts than image editing, na ninachofanya sana kwa images ni common edits (air brushing, sharpen, contrast, blur, whiten teeth :biggrin:... )

34r9flz.jpg

30jk4mh.jpg

ws46j9.jpg

vxg4rk.jpg

hvtnqo.jpg

8ba12ec0.jpg

a4cfa265.jpg
 
Sina ! Hz zlikua kama sketch flan sema nkabadili colour tu.., nakuongezea ujanja kdogo! Lakn haina ufundi sanaaaa
422693_297025290361693_1119703860_a.jpg

Knacho nipa uvivu ku edit pcha za kawaida n kwamba nkiwa seriouz najkutaga nmeboronga
380594_376989925698562_946796071_a.jpg

Ila nkiwa nafanya utan najkutaga nmepatia
426736_396206803776874_1251854098_a.jpg
Nubert hiyo picha ulovaa miwani ina tatizo katika lighting effects. Kama ulitumia spotlight mode inazingua ukishindwa kuitumia vizuri ndio maana mkono wa kushoto ni mweusi sana wakati uso ni brown.
Photo filter huwa iko poa (kwa general brightnec + colour) au ukitumia spotlight unaenlarge ili mwanga uaffect picha nzima.
 
Sijaweka maneno tu, hizo picha ziko edited, mfano hilo tangazo nililo tengeneza ka la mpesa, huyo dem na huyo mtoto nimewatoa kwenye background tofaut na huyo mtoto alikuwa kaangalia kulia yuko sehemu tofauti na unayo iona hapo, nlichokifanya nkawaweka background znazoendana na nachotaka kionekane huyo mama aonekane ofisin mtoto ka yuko mazingira flani ya shule.
Hiyo ya dj nilicho chukua ni huyo dj na mashine tu hyo anayo scrtch, naye nkamuedit aendane na nalotaka fanya yaliyobaki unayo yaona kazi ya photoshop yote, hiyo ya fasheni shoo hyo ni kazi ya photoshop mwanzo mwisho na haikukaa kama nlivyotaka imekuwa kama chafu chafu flani na huyo mwanaume anayetembea nmechemka kivuli chake maana nimeshindwa weka kivuli cha karatas aliyo shikilia hivyo imeyoka na u light blue kwenye kivuli
Kuwa makini na perspective cuz huyo dada ktk tangazo la tigo (your project) ameshika laptop that DOES NOT EXIST.Imekuwa pana sana...
Pia kuwa makini unapokuwa unakata background kwa kutumia polygonal lasso tool cuz ktk background ya website yako, hiyo picha ina weupe on the edges na pia haipo smooth.
 
Capsule + Robot.
Hiyo text kwa mara ya kwanza ainatake time kumaster how to do it.
robot.jpg
 
Kuwa makini na perspective cuz huyo dada ktk tangazo la tigo (your project) ameshika laptop that DOES NOT EXIST.Imekuwa pana sana...
Pia kuwa makini unapokuwa unakata background kwa kutumia polygonal lasso tool cuz ktk background ya website yako, hiyo picha ina weupe on the edges na pia haipo smooth.

Thanks for ur advice mkuu ntaifanyia kazi
 
beginners mnaweza nicheki niwasaidie pale mnapo kwama
 
humu itakua ni kujiproud tu mnatakiwa mueke psd ili mwenzako nae aone umefanyaje navowajua wabongo full ku upload picture
nna psd kibao ambazo nataka kushea na watu ila sasa ku upload sijui niziweke wapi
 
Nubert hiyo picha ulovaa miwani ina tatizo katika lighting effects. Kama ulitumia spotlight mode inazingua ukishindwa kuitumia vizuri ndio maana mkono wa kushoto ni mweusi sana wakati uso ni brown.
Photo filter huwa iko poa (kwa general brightnec + colour) au ukitumia spotlight unaenlarge ili mwanga uaffect picha nzima.

Mkuu yaan mm n mvivu sana ku edit. Nna mdogoangu ananshnda wakat nmemfundsha mwenyewe,,.. Then kwa kuhusu rang huo mkono ndo halisi ila sehemu zngne nlizng'arisha tuu! Im too black.,.. Teh teh teh
Hii je
380288_296942333719111_1761082061_a.jpg

hii kaedit huyo dogo ila nyasi katumia brush flan alizidownload ... Na maandish cjui aliyatoa wapi... But hakutumia ile 3d texts ..
538293_334995306579730_1792407734_a.jpg
 
Sijaona mtaalam hapa, bado wote ni begginers, photo editing has never been easier!
 
Back
Top Bottom