Photo interpretation

Photo interpretation

Unashangaa, si ndiyo maana wanachaguliwa wanaume wambea tu kama kina Nape na Kinana before alikuwa Mze Makamba ili wawadanganye wananchi tuko vitani na vyama vya upinzani vinataka kuleta vita Tanzania. uko kijijini ukimwambia mwananchi kitu vita si atachekelea CCM ishinde. CCM ni majanga na nafikiri kimelaaniwa na Nyerere na ndiyo maana viongozi wake hawana msimamo. Yaani mtu ukighushi tu cheti unapata uwaziri na kula mali za taifa.

Mkuu nakubaliana nawewe kwani CCM ni sawa na chama cha ufalme kwa madaraka, na kwa ulafi wa mali za umma ni sawa na chama cha majuha, wao siku zote wanajua wananchi wao ni majuha na mafala tht y wanaongoza kujenga maskan za wakereketwa na kuwalaghai watu na mivao yakanga pmja na tshrt mbovu za kuvulia samak kama majarife, na wananch wameridhika, hawa CCM wanatutia vidole halafu wanatunusisha wenyewe.....
 
ImageUploadedByJamiiForums1382135799.911625.jpg





Haya ndo mambo wanayo yajua wanafanya upumbav vijijini wanakufa na njaaaaa...... CCM CCM oooooooh CCM namber oney..... Hiyo ndo nyimbo Yao wakiwacheka wananchi wao...
 
Kwa wanaoweza kunisaidia ku-interpreter hii picha

View attachment 117110
i. Picha inamaanisha nini?
ii. Ilipigwa kipindi gani? Cha kampeni, baada ya kampeni au wakati mmiliki wa mjengo anajiunga au alipoachana na chama chetu?
iii. Mmiliki wa mjengo ni Mtanzania? ana maisha bora kama sisi wengine?
iv. Mpiga picha alidhamiria nini, Anatoa ujumbe gani kwa jamii?
v. Kitambaa/pazia la mlangoni liko sehemu sahihi hapo? Inaonyesha wamiliki wa hicho kitambaa wanafanana na jengo hilo au mmiliki ni kutoka kambi ya tofauti?

NAWASILISHA NATAKA HOJA TU, MATUSI HAPANA

Hiyo ni sehemu ya kupigia kura
 
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?

unataka iwekwe ipi? ya jk. akibembea?au kwa sababu hapo ni msalani ndo hupendi? we ni mtu mjinga sana..... .......
 
Back
Top Bottom