Photo interpretation

Photo interpretation

Nchemba alikuwa anachimba dawa jimboni kwake nyumbani kwa mmoja wa wapiga kura wake.
 
Kwa wanaoweza kunisaidia ku-interpreter hii picha

View attachment 117110
i. Picha inamaanisha nini?
ii. Ilipigwa kipindi gani? Cha kampeni, baada ya kampeni au wakati mmiliki wa mjengo anajiunga au alipoachana na chama chetu?
iii. Mmiliki wa mjengo ni Mtanzania? ana maisha bora kama sisi wengine?
iv. Mpiga picha alidhamiria nini, Anatoa ujumbe gani kwa jamii?
v. Kitambaa/pazia la mlangoni liko sehemu sahihi hapo? Inaonyesha wamiliki wa hicho kitambaa wanafanana na jengo hilo au mmiliki ni kutoka kambi ya tofauti?

NAWASILISHA NATAKA HOJA TU, MATUSI HAPANA

Kitaalamu tunaita "Amazing photos" in Tanzania
 
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?
Kha! kweli nyani haoni kundule! na wewe hupata wapi muda wa kushinda mitandaoni ukiandika upuuzi usio na maana?
 
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?

If you are that much busy muda wa kupita mtandaoni unaupata wapi? Tumia common sense, kuweka picha au kubandika thread JF inachukua dakika ngapi?
 
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?
Ndio chadema ina jobless ila nyie mmepewa michongo na mapande na wazee wenu mpo Bot nssf (tanapamnauza meno ya tembo mpo bze) (usalama mnangoa watu meno bila ganzi) (pccb mnabambika watu wema rushwa huku mkilinda babazenu mafisadi) tanesco migodini mnewekwa kusimamia 10%za baba zenu.ila wazururaji propartless ndo wataleta mageuz hapa nchini watoto wa tandale mbagala buguruni na wala sio nyie mlioko bize kusulumu watoto wa wavuja jasho.
 
arumeru_thumb%25255B5%25255D.jpg

Aisee safari ni safari nimeku PM hebu check in box
 
Picha hiyo ilipigwa baada ya uchaguzi,kuna mambo mengi walimhaidi,yeye na wenzake,siku ya kampeni ndipo alipewa hiyo bendera,baada ya kuchukua madaraka si wakamsahau,kavumilia wee,kaona isiwe tatu,hii bendera ngoja inisaidie Kama mlango,chezea Ccm wewe.
 
Kazi ipo haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania, sasa wanaccm mnataka nini tena, serikali ya ccm ni sikivu msijali tuundelee kula maisha.
 
raia weeeengi ni masikini sanaaaa
ubinafsi utatumaliza
watu wanajenga barabara ili magari ya kampeni yawafikie wapiga kura kweli kazi tunayo
 
Mwenye huo mjengo huyu hapa - bado ana matumaini ya maisha bora hadi kufikia 2015

umasikini.JPG

Mie nilipata fununu Kua kuna baadhi ya maeneo Tanzania hii hii kuna watu mpaka Leo wanajua Nyerere ni rais, jamani ni ya kweli haya? Maana hii pict inauhalisia flani kwa Yale niliyoyasikia, mungu irehem Tanzania
 
Hii inanikumbusha gazeti moja linalotoka kilasiku limeandika ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA WALIOCHAGUA HICHO CHAMA NA RAISI WAKE NI WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA! Naomba mkalitafute hilo gazeti kama sikosei ni la jana au juzi!

(Sasa wanajuta sana)!

na mie nililiona pia....
 
Mwenye hiyo nyumba usishangae kukuta ni baloz wa mtaa hahahahahahaha.. Tz raha sana aaanii.....
 
Kwa wanaoweza kunisaidia ku-interpreter hii picha

View attachment 117110
i. Picha inamaanisha nini?
ii. Ilipigwa kipindi gani? Cha kampeni, baada ya kampeni au wakati mmiliki wa mjengo anajiunga au alipoachana na chama chetu?
iii. Mmiliki wa mjengo ni Mtanzania? ana maisha bora kama sisi wengine?
iv. Mpiga picha alidhamiria nini, Anatoa ujumbe gani kwa jamii?
v. Kitambaa/pazia la mlangoni liko sehemu sahihi hapo? Inaonyesha wamiliki wa hicho kitambaa wanafanana na jengo hilo au mmiliki ni kutoka kambi ya tofauti?

NAWASILISHA NATAKA HOJA TU, MATUSI HAPANA

i. Mwananchi huyu hajasoma na bado anahisi Tanzania inatawaliwa na wakoloni
ii. Imepigwa hivi karibuni kwani bado mwananchi anasubiri kujikomboa toka kwa wakoloni hivyo anasubiri uhuru kupitia CCM
iii. Mmiliki ni Mtanzaniai na usikute hapa ni dar Es Salaam (Mbagala, Tandika, Tandale, Msasani, Buguruni, Kinondoni kwa Manyanya) ila hana maisha mazuri lakini anasubiri kupata maisha mazuri na bora tukijikomboa
iv. Mpiga picha ni mpiganaji makini kwani anatuonyesha kuwa haya ndo maisha bora tuliohaidiwa na yule jamaa wa magogoni anayekula sahani moja na wabwia unga huku akisahau aliwaahidi nini wananch wake
v. Kama nilivyosema katika point namba moja hapo juu: Mmiliki hana akili na upeo wa maisha kutokana na kutokuwa na elimu kwani huwezi kuwa na akili timamu ukapenda chama kisicho na faida kwako. Toka TANU 1961 mpaka CCM toka mwaka 1977 - 2013 tumefaidika na nini zaidi ya kunyimwa raha na viongozi wetu kwa wizi wao mpaka watanzania wamekuwa wananchi waliokata tamaa ya maisha hapa duniani? nampa pole mpiga picha huenda akatumiwa vijana wa Green Guards kum-Ulimboka, eti kwa nini anawaamsha watanzania kwa picha za hajabu. Hiki chama cha unyanyapaa hiki, basi tu.
 
Mie nilipata fununu Kua kuna baadhi ya maeneo Tanzania hii hii kuna watu mpaka Leo wanajua Nyerere ni rais, jamani ni ya kweli haya? Maana hii pict inauhalisia flani kwa Yale niliyoyasikia, mungu irehem Tanzania

Unashangaa, si ndiyo maana wanachaguliwa wanaume wambea tu kama kina Nape na Kinana before alikuwa Mze Makamba ili wawadanganye wananchi tuko vitani na vyama vya upinzani vinataka kuleta vita Tanzania. uko kijijini ukimwambia mwananchi kitu vita si atachekelea CCM ishinde. CCM ni majanga na nafikiri kimelaaniwa na Nyerere na ndiyo maana viongozi wake hawana msimamo. Yaani mtu ukighushi tu cheti unapata uwaziri na kula mali za taifa.
 
Back
Top Bottom