Mwenye huo mjengo huyu hapa - bado ana matumaini ya maisha bora hadi kufikia 2015
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?
...Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?
sio ajabu jamaa ana Miaka 25....chezea ccm, unazeeka bila kupenda.
unatakiwa uwe msalani saa hii....Kweli CHADEMA imesheni ma - jobless , unapata wapi muda wa kuweka picha kama hizo mtandaoni?
Kazi watapata wapi wakati mnawapa watoto wenu na ndugu zenu tu.
UFIPA wako kina nani? walioajiriwa pale si kina KINABO, MUSHI, MASSAWE, MREMA, etc ?
Kwa wanaoweza kunisaidia ku-interpreter hii picha
View attachment 117110
i. Picha inamaanisha nini?
ii. Ilipigwa kipindi gani? Cha kampeni, baada ya kampeni au wakati mmiliki wa mjengo anajiunga au alipoachana na chama chetu?
iii. Mmiliki wa mjengo ni Mtanzania? ana maisha bora kama sisi wengine?
iv. Mpiga picha alidhamiria nini, Anatoa ujumbe gani kwa jamii?
v. Kitambaa/pazia la mlangoni liko sehemu sahihi hapo? Inaonyesha wamiliki wa hicho kitambaa wanafanana na jengo hilo au mmiliki ni kutoka kambi ya tofauti?
NAWASILISHA NATAKA HOJA TU, MATUSI HAPANA