Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

Hizi facts ni za nguvu sana kama wachangiaji hapo juu wanavyosema. Kwa serikali makini Mulugo alipaswa awe ameshauriwa kuwasilisha barua ya kujiuzuru
 
Kuwa mwanasiasa kuna gharama kubwa sana. Inapasa usiwe na moyo wa nyama? Laiti Mulugo angejua...!
Mkuu inasemwa kwamba ukitaka kujua u msafi ama mchafu kiasi gani basi jitumbukize kwenye siasa.
 
Wa namna hii wapo wengi hapa Nchini, tatizo hili ni sawa na rushwa tunavyoangaika nayo. Nimepata kusoma makala moja akilezea jinsi alivyosoma kwa shida bila shaka huyo Philipo Mulugo halisi ndiye anapaswa kuelezea ukweli juu ya jambo hili ,wapo waliosoma nae ama nyaraka kama zipo hapo shuleni. Hili mbona jepesi tu, haiwezekani hiyo shule walisoma wawili tu.

Maadam wanaomfahamu vizuri wapo kimya na ni kweli anatumia jina la mtu basi hii itakuwa hatari kuliko Nuclear.
 
Back
Top Bottom