BiMkubwa
JF-Expert Member
- Jan 9, 2007
- 529
- 98
Nilikuwa nasoma Daily News ya leo na nikakutana na wasifu wa Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi.
Kwa kifupi PhD yake ni ya Pacific Western University. A well known Diploma mill.
Tunapolalamika kuhusu PhD feki za viongozi wetu, jirani zetu wana RAIS mwenye PhD feki.