PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

As far as I know (with my form IV knowledge), Tanzania we dont have any High Way. So I do support to sweep TANESCO building and others, at least to give a brith in accessibility. The validity of PhD are not correlated with the accessibility problems. However, I dont support the fake/forged education qualifications of our leaders and all others.

Accessibility does not mean a road way only in Transportation Engineering. However you have to answer some important questions behind the design evaluation to justify, why your road must pass through the existing economical buildings: -

  • Why Government allowed that structure to be built there, becaused its not a temporary building; to be specific why Magufuri did not rise this matter during Construction of Tanesco Building while he was the Ministry responsible?
  • Is it the best scenerio? is there no any economical feasible scenario?
  • Is it not possible to diverge from the structure? or incorporate it into Transport system?- "..."
  • Who causes such ignorance that shall lead us into big loss like that? and what actions has been taken against him or her
  • Do we need a wide right of way in Urban roads for what? Why RoW along Morogoro Road from Bibi mhd Junction to Sokoine Road is not so wide like this at Ubungo what is wrong with our Planners and Designers
 
Sasa hapo bro umetumia vigezo tofauti. Kuna wale waliokuwa wanahoji kama hata aliingia Lab, na jamaa ametoa ushuhuda wa maisha ya chuo ya huyo mnayemshuku sasa huoni kwamba suala la Cafeteria ni relevant as far as the question is concerned? Sasa unapozungumzia suala la kufikiri au ku-behave kama msomi hilo ni lingine kwa sababu mtu anaweza akawa hana elimu ya juu na bado akawa na uwezo wa kujenga hoja na akasikilizwa. Kwani elimu ya Mbowe mnaifahamu? Au ile ya Shibuda? Ukweli unabaki kwamba Magufuli ameshuhdiwa akisoma katika kila hatua ya elimu yake kuanzia digrii ya kwanza, ya pili mpaka ile ya uzamivu. Hapa wadanganyifu wa kuwafuatilia ni hao akina Nchimbi, Kamala, Mahanga na mafisadi wengine wa elimu kama Msemakweli alivyowabainisha.

Nashukuru umenielewa vizuri sana, hoja yangu.

Sasa turudi kwenye thread, tusimshambulie mtoa hoja, tumuombe data na ushahidi maana ata aliye mtetea Mzee Magufuri amesema alimuona chuo lakini hajasema Darasani, katwambia alimuona akila na wanafunzi huo siyo ushahidi kuwa alipata Degree halali, pia kusema UDSM hawezi kutoa Degree feki ni uongo sugu siyo ushahidi wowote.[

Siku zote husipinge jambo husilolijua kwasababu ya Ushabiki, hao wengine tunajua ni feki, sasa tumruhusu Mtoa hoja atuletee ushahidi alionao sio tumshambulie kwasababu sisi tunatoke kule kwao Magufuri.
 
Sanity must be instilled. Kama hilo jengo la TANESCO limejengwa kwenye road reserve lipigwe chini bila kujali kama lilipojengwa wahusika waliliona au la! Two wrongs do not make one right! Nchi hii mkiona mtu anjaribu kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa mnaanza kumchimba. Nyie wachimbeni wale waliovunja maghorofa ya Masaki kwa sababu tu yanazuia upepo kuwafikia kwenye nyumba zao!
 
Crap........................P
 
You are trying to write what you really don't know at all: can you justify the importance of one lane road against a tall building in Urban Transportation? Don't repeat such a rubbish sense of humour at all.

If you one of those thinking so you must understand that, you are lagging behind the education and economical indicators of transportation, if not ignorance. In Urban transportation road is nothing but a transport to Job, hospital and economic activities, which if we can attain in sustainable design people could even walk to Job and those mall (building) are the Job places and where economical activities are executed.

Try to focus and go school if what to know this.

Mkuu umeni-PM kuwa nije kujibu hoja, nikafungua haraka niione hiyo hoja. I though this is a place to gain knowledge after I perused your post I have seen some assignments which you have given me and that truly stops me to discuss with you genius

1. My all posts will be rubbish
2. I am ignorant though I am Civil engineer
3. I have to go to school of economics first

However out of my my rubbish and ignorances I may have this inputs which are facts and possibly may help you if you want! WATU HAWATUMII BARABARA KWA KWENDA KAZINI TU! isichekeshe watu!

Try to read this:

Transportation concerns the movement of products from a source-such as a plant, factory, or work-shop-to a destination-such as a warehouse, customer, or retail store. Transportation may take place via air, water, rail, road, pipeline, or cable routes, using planes, boats, trains, trucks, and telecommunications equipment as the means of transportation. The goal for any business owner is to minimize transportation costs while also meeting demand for products. Transportation costs generally depend upon the distance between the source and the destination, the means of transportation chosen, and the size and quantity of the product to be shipped. In many cases, there are several sources and many destinations for the same product, which adds a significant level of complexity to the problem of minimizing transportation costs. For examples, the United States boasts the world's largest and most complex transportation system, with four million miles worth of roads, a railroad network that could circle the earth almost seven times if laid out in a straight line, and enough oil and gas lines to circle the globe 56 times.
The decisions a business owner must make regarding transportation of products are closely related to a number of other distribution issues. For example, the accessibility of suitable means of transportation factors into decisions regarding where best to locate a business or facility. The means of transportation chosen will also affect decisions regarding the form of packing used for products and the size or frequency of shipments made. Although transportation costs may be reduced by sending larger shipments less frequently, it is also necessary to consider the costs of holding extra inventory. The interrelationship of these decisions means that successful planning and scheduling can help business owners to save on transportation costs

Hiyo ni kipande tu ukitaka hesabu nitaenda shule na nitakumwagia hapahapa ila tu itategemea kama response yako ya matusi itapungua ukiendeleza MATUSI basi chukua ushindi! maana mpaka unani-PM ni kuwa unataka sana ligi wengine hatuko hivyo 'tunachema' tunachokijua na kamwe hutakuta NGUVU NDANI YA HOJA!!! rubbish, ignorance nenda shule...why are you using these words?? kua kidogo tu mkuu usijiabishe tena!

Mtaalamu wa uchumi ebu tusaidie miaka 50 ijayo you will still need the building there! au an art of vision does is not applicable to you!

Let me go to school first!
 
Binafsi namfahamu Magufuli kwa mbali kupitia uncle wangu ambaye kwa sasa ni marehemu (alikuwa Lecturer Mlimani). Walisoma wote chuo kikuu cha Salford, Uingereza, uncle akisoma physical chemistry. Aliwahi niambia kwamba waliishi bweni moja na mtu aitwaye Magufuli ila suala la kama alikuwa anafanya vizuri au la haikuwa issue kwa kuwa kipindi kile nyota ya Magufuli haikuwa angavu sana. Magufuli aliporudi Tanzania, uncle wangu akaendelea kusoma PhD. Binafsi naamini ana uwezo mzuri kiakili, maana si rahisi kupata nafasi kama hizo za kusoma hususani katika vyuo vikubwa vya Uingereza kama Salford (alikopata masters). Pia kuhusu kupata PhD si lazima uingie maabara bwana. Kuna studies kubwa sana watu wanapata PhD kupitia hizo lakini utakuta anayefanya kazi kwa ukubwa ni laboratory technician au laboratory scientist. Pia Studies nyingine hata kama zinahusu kitu kama Chemistry au kitu chochote kiendanacho sana na maabara si lazima kifanyike ndani ya maabara. Mtu anaweza akasoma tu kuhusu plastics bags utupaji wake na akapata PhD ya Organic Chemistry. So kuingia au kutoingia maabara si issue, ilimradi ujue unafanya nini. Tatizo ni kama kapika data, au kasoma PhD fake. Simtetei, maana sina data, wenye data wazirushe.
 
You are trying to write what you really don't know at all: can you justify the importance of one lane road against a tall building in Urban Transportation? Don't repeat such a rubbish sense of humour at all.

If you one of those thinking so you must understand that, you are lagging behind the education and economical indicators of transportation, if not ignorance. In Urban transportation road is nothing but a transport to Job, hospital and economic activities, which if we can attain in sustainable design people could even walk to Job and those mall (building) are the Job places and where economical activities are executed.

Try to focus and go school if what to know this.
Jaribu kuwa mhalisia kuliko nadharia za darasani na mambo mengine kama hayo.Jamani mm ni mmoja wa hao wanaoshabikia mabarabara kuliko Majengo maana Najua ninachokizungumza na naelewa umuhimu wake.Ni watu wangapi wanafaidika na kulitumia Jengo la Tanesco kuinua vpato vyao??Ni watu wangapi wataitumia hiyo barabara kwa shughuli za kijamii na kiuchumi??Ukipata jibu kwamba Jengo la Tanesco lina umuhimu kuliko barabara,basi kuna walakini na uchambuzi wako.Nyway Tuacheni Siasa ktk utendaji,Mi sidhani kama inasaidia kumhesabu mtu kwamba yy ni mpuuzi siku zote.Hata saa mbovu nayo kwa siku husema ukweli>
 
Accessibility does not mean a road way only in Transportation Engineering. However you have to answer some important questions behind the design evaluation to justify, why your road must pass through the existing economical buildings: -

  • Why Government allowed that structure to be built there, becaused its not a temporary building; to be specific why Magufuri did not rise this matter during Construction of Tanesco Building while he was the Ministry responsible?
  • Is it the best scenerio? is there no any economical feasible scenario?
  • Is it not possible to diverge from the structure? or incorporate it into Transport system?- "..."
  • Who causes such ignorance that shall lead us into big loss like that? and what actions has been taken against him or her
  • Do we need a wide right of way in Urban roads for what? Why RoW along Morogoro Road from Bibi mhd Junction to Sokoine Road is not so wide like this at Ubungo what is wrong with our Planners and Designers

Good post, good questions! you demand an answer, I would volunteer but I have to go to school first! However in responding to your questions will not rely on opposing you will stick on facts, some of your questions I am in your side, but you need to take CL 101 first to attract customers in your posts!

Nashukuru umenielewa vizuri sana, hoja yangu.

Sasa turudi kwenye thread, tusimshambulie mtoa hoja, tumuombe data na ushahidi maana ata aliye mtetea Mzee Magufuri amesema alimuona chuo lakini hajasema Darasani, katwambia alimuona akila na wanafunzi huo siyo ushahidi kuwa alipata Degree halali, pia kusema UDSM hawezi kutoa Degree feki ni uongo sugu siyo ushahidi wowote.[

Siku zote husipinge jambo husilolijua kwasababu ya Ushabiki, hao wengine tunajua ni feki, sasa tumruhusu Mtoa hoja atuletee ushahidi alionao sio tumshambulie kwasababu sisi tunatoke kule kwao Magufuri.

Unaniua tu kwenye conclusion zako!
 
Mkuu umeni-PM kuwa nije kujibu hoja, nikafungua haraka niione hiyo hoja. I though this is a place to gain knowledge after I perused your post I have seen some assignments which you have given me and that truly stops me to discuss with you genius

1. My all posts will be rubbish
2. I am ignorant though I am Civil engineer
3. I have to go to school of economics first

However out of my my rubbish and ignorances I may have this inputs which are facts and possibly may help you if you want! WATU HAWATUMII BARABARA KWA KWENDA KAZINI TU! isichekeshe watu!

Try to read this:

Transportation concerns the movement of products from a source-such as a plant, factory, or work-shop-to a destination-such as a warehouse, customer, or retail store. Transportation may take place via air, water, rail, road, pipeline, or cable routes, using planes, boats, trains, trucks, and telecommunications equipment as the means of transportation. The goal for any business owner is to minimize transportation costs while also meeting demand for products. Transportation costs generally depend upon the distance between the source and the destination, the means of transportation chosen, and the size and quantity of the product to be shipped. In many cases, there are several sources and many destinations for the same product, which adds a significant level of complexity to the problem of minimizing transportation costs. For examples, the United States boasts the world's largest and most complex transportation system, with four million miles worth of roads, a railroad network that could circle the earth almost seven times if laid out in a straight line, and enough oil and gas lines to circle the globe 56 times.
The decisions a business owner must make regarding transportation of products are closely related to a number of other distribution issues. For example, the accessibility of suitable means of transportation factors into decisions regarding where best to locate a business or facility. The means of transportation chosen will also affect decisions regarding the form of packing used for products and the size or frequency of shipments made. Although transportation costs may be reduced by sending larger shipments less frequently, it is also necessary to consider the costs of holding extra inventory. The interrelationship of these decisions means that successful planning and scheduling can help business owners to save on transportation costs

Read more: Transportation - advantage, Basic means of transportation Transportation - advantage, Basic means of transportation

Hiyo ni kipande tu ukitaka hesabu nitaenda shule na nitakumwagia hapahapa ila tu itategemea kama response yako ya matusi itapungua ukiendeleza MATUSI basi chukua ushindi! maana mpaka unani-PM ni kuwa unataka sana ligi wengine hatuko hivyo 'tunachema' tunachokijua na kamwe hutakuta NGUVU NDANI YA HOJA!!! rubbish, ignorance nenda shule...why are you using this words?? kua kidogo tu mkuu usijiabishe tena!

Mtaalamu wa uchumi ebu tusaidie miaka 50 ijayo you will still need the building there! au an art of vision does is not applicable to you!

Let me go to school first!

Waberoya, Kwanza Samahani sana kama umehisia kuwa-insulted halikuwa lengo langu hayo maneno unayoona yanaku-insult yametokanan na jinsi ulivyojibu hoja kwa kukurupuka na Jazba! Soma majibu yako katika hoja yangu husika utajua kosa lako lilikuwa wapi, kama umkweli.

Turudi kwenye issue; Mkuu unasema umesoma Civil Engineering mbona unaleta Definitions za Wikipedia hapa; maneno yako hana elements za Engineer bali kama Transporter? hiyo Definition kama ningepewa na Mtu mwenye malori ya mizigo ningemuelewa kidogo lakini kwenye Engineering haimo Mkuu, Kitalaam Kama wewe ni Engineer husije kuongea kama ulivyoonge kuwa one lane road ni muhimu sana kuliko jengo lenye urefu wowote.

Unasema we Engineer ila Mi-kama Engineer na Mtaalam wa Mawasiliano elimu yangu ina kinzana na hoja zako zote ulizotoa, Kama ningekuwa nafanya hiyo kazi nisingefanya kama mnavyofikiria hata kidogo, inaonekana nyie hamjui majibu ya matatizo mengi ya Engineering na mnaanzia kwenye kukalili majibu. Mi nasema hakuna Engineer yeyote aliye Elimika na anaijua Engineering vizuri anaweza kufikiria kuvunja jengo la Tanesco, lau kuwa ni Mwanasiasa, au hajui hiyo engineering vizuri, au hajaelimika vya kutosha. hilo jengo siyo Kontena kuwa limeshushwa kwa crane one day night.

Ingawa ukiambiwa kwenda shule hutaki, sijui kwanini, unadhani elimu ina mwisho? Hizo Definitions za wikipedia, kwa mtaalam siyo, Ubungo ni eneo la Mjini, upana ulipo pale unatosha sana sema hamjui jinsi ya kuutumia ndio Tatizo linalowasumbua sana. Inaonekana mkiambiwa mjenge barabara Azikiwe hamtaweza kabisa!! maana mtatwambia mnataka mbomoe Mkapa Tower etc; Ila kama kubomoa ndio furaha yenu basi mtwambie huo uzembe uliletwa na nani? na kapewa adhabu gani.
 
Lakini mimi najua phd ya magufuli ni serious. Amemaliza hapa udsm. Tena hate thesis yake inajulikana.
 
Binafsi namfahamu Magufuli kwa mbali kupitia uncle wangu ambaye kwa sasa ni marehemu (alikuwa Lecturer Mlimani). Walisoma wote chuo kikuu cha Salford, Uingereza, uncle akisoma physical chemistry. Aliwahi niambia kwamba waliishi bweni moja na mtu aitwaye Magufuli ila suala la kama alikuwa anafanya vizuri au la haikuwa issue kwa kuwa kipindi kile nyota ya Magufuli haikuwa angavu sana. Magufuli aliporudi Tanzania, uncle wangu akaendelea kusoma PhD. Binafsi naamini ana uwezo mzuri kiakili, maana si rahisi kupata nafasi kama hizo za kusoma hususani katika vyuo vikubwa vya Uingereza kama Salford (alikopata masters). Pia kuhusu kupata PhD si lazima uingie maabara bwana. Kuna studies kubwa sana watu wanapata PhD kupitia hizo lakini utakuta anayefanya kazi kwa ukubwa ni laboratory technician au laboratory scientist. Pia Studies nyingine hata kama zinahusu kitu kama Chemistry au kitu chochote kiendanacho sana na maabara si lazima kifanyike ndani ya maabara. Mtu anaweza akasoma tu kuhusu plastics bags utupaji wake na akapata PhD ya Organic Chemistry. So kuingia au kutoingia maabara si issue, ilimradi ujue unafanya nini. Tatizo ni kama kapika data, au kasoma PhD fake. Simtetei, maana sina data, wenye data wazirushe.

Huyu Jamaa anaonekana kuna-taarifa alitaka kutupatia, sasa Wajombaze Magufuri wamemshambulia kwelikweli!! naona sijui kakimbia?! Maana alisema anajua hadi Prof wake walipo
 
Jaribu kuwa mhalisia kuliko nadharia za darasani na mambo mengine kama hayo.Jamani mm ni mmoja wa hao wanaoshabikia mabarabara kuliko Majengo maana Najua ninachokizungumza na naelewa umuhimu wake.Ni watu wangapi wanafaidika na kulitumia Jengo la Tanesco kuinua vpato vyao??Ni watu wangapi wataitumia hiyo barabara kwa shughuli za kijamii na kiuchumi??Ukipata jibu kwamba Jengo la Tanesco lina umuhimu kuliko barabara,basi kuna walakini na uchambuzi wako.Nyway Tuacheni Siasa ktk utendaji,Mi sidhani kama inasaidia kumhesabu mtu kwamba yy ni mpuuzi siku zote.Hata saa mbovu nayo kwa siku husema ukweli>

Lete uhalisia unahujua wewe hapa, mimi naona anayefikiria kubomoa lile jengo ndio Mnadharia hasiye jua jibu la jinsi ya kupitisha barabara pale bila kubomoa hilo jengo.
 
Waberoya, Kwanza Samahani sana kama umehisia kuwa-insulted halikuwa lengo langu hayo maneno unayoona yanaku-insult yametokanan na jinsi ulivyojibu hoja kwa kukurupuka na Jazba! Soma majibu yako katika hoja yangu husika utajua kosa lako lilikuwa wapi, kama umkweli.

Turudi kwenye issue; Mkuu unasema umesoma Civil Engineering mbona unaleta Definitions za Wikipedia hapa; maneno yako hana elements za Engineer bali kama Transporter? hiyo Definition kama ningepewa na Mtu mwenye malori ya mizigo ningemuelewa kidogo lakini kwenye Engineering haimo Mkuu, Kitalaam Kama wewe ni Engineer husije kuongea kama ulivyoonge kuwa one lane road ni muhimu sana kuliko jengo lenye urefu wowote.

Unasema we Engineer ila Mi-kama Engineer na Mtaalam wa Mawasiliano elimu yangu ina kinzana na hoja zako zote ulizotoa, Kama ningekuwa nafanya hiyo kazi nisingefanya kama mnavyofikiria hata kidogo, inaonekana nyie hamjui majibu ya matatizo mengi ya Engineering na mnaanzia kwenye kukalili majibu. Mi nasema hakuna Engineer yeyote aliye Elimika na anaijua Engineering vizuri anaweza kufikiria kuvunja jengo la Tanesco, lau kuwa ni Mwanasiasa, au hajui hiyo engineering vizuri, au hajaelimika vya kutosha. hilo jengo siyo Kontena kuwa limeshushwa kwa crane one day night.

Ingawa ukiambiwa kwenda shule hutaki, sijui kwanini, unadhani elimu ina mwisho? Hizo Definitions za wikipedia, kwa mtaalam siyo, Ubungo ni eneo la Mjini, upana ulipo pale unatosha sana sema hamjui jinsi ya kuutumia ndio Tatizo linalowasumbua sana. Inaonekana mkiambiwa mjenge barabara Azikiwe hamtaweza kabisa!! maana mtatwambia mnataka mbomoe Mkapa Tower etc; Ila kama kubomoa ndio furaha yenu basi mtwambie huo uzembe uliletwa na nani? na kapewa adhabu gani.

Asante mkuu, I salute you.
 
Binafsi namfahamu Magufuli kwa mbali kupitia uncle wangu ambaye kwa sasa ni marehemu (alikuwa Lecturer Mlimani). Walisoma wote chuo kikuu cha Salford, Uingereza, uncle akisoma physical chemistry. Aliwahi niambia kwamba waliishi bweni moja na mtu aitwaye Magufuli ila suala la kama alikuwa anafanya vizuri au la haikuwa issue kwa kuwa kipindi kile nyota ya Magufuli haikuwa angavu sana. Magufuli aliporudi Tanzania, uncle wangu akaendelea kusoma PhD. Binafsi naamini ana uwezo mzuri kiakili, maana si rahisi kupata nafasi kama hizo za kusoma hususani katika vyuo vikubwa vya Uingereza kama Salford (alikopata masters). Pia kuhusu kupata PhD si lazima uingie maabara bwana. Kuna studies kubwa sana watu wanapata PhD kupitia hizo lakini utakuta anayefanya kazi kwa ukubwa ni laboratory technician au laboratory scientist. Pia Studies nyingine hata kama zinahusu kitu kama Chemistry au kitu chochote kiendanacho sana na maabara si lazima kifanyike ndani ya maabara. Mtu anaweza akasoma tu kuhusu plastics bags utupaji wake na akapata PhD ya Organic Chemistry. So kuingia au kutoingia maabara si issue, ilimradi ujue unafanya nini. Tatizo ni kama kapika data, au kasoma PhD fake. Simtetei, maana sina data, wenye data wazirushe.

Huku Europe nilipo kutokana na kubana matumizi kama unapenda kupata sample nchini kwako basi unaweza tuma tools for data collections kwa friends na research assistants unaowafahamu watafanya kazi to the standard inayotakiwa na wewe ukaja kufanya analysis na kupublish results na pia masters students wanaweza analyse data za mtu wa Phd na kuandika thesis ambazo zikiboreshwa zinakuwa chapters kwenye PhD za mhusika yeye akiwa kama supervisor wao sasa sijui hizi tuziiteje ni fake degrees au? Tunachopaswa kukijua PhD is more of a political degree kuliko degree zingine za chini...unaweza ukawa na ubongo kumzidi Newton lakini ukishindwa ku meet politic za anayekusimamia ukaambulia certificate of attendance....Hizi shule ni katika kutusaidia kuleta solutions kwenye problems za maisha so hata kama una vyeti vyenye grade ambayo scale yake bado Academia haijaivumbua kama hiyo hutaweza kui translate in real problem solving inabakia tu kuwa academic exercise which nobody is interested in. Hiyo inakuwa na value kwa watu ambayo wana sense of self denial to their true identity na to cover this weakness wanatamani kuongeza titles mbele ya Identity zao ili kuficha madhaifu yao!
 
Acha chuki Mhaya gani wewe,lete facts.Magufuli malizia barabara zetu.We ni miongoni mwa wachapakazi wachache tz,viva kaka
 
Nashukuru umenielewa vizuri sana, hoja yangu.

Sasa turudi kwenye thread, tusimshambulie mtoa hoja, tumuombe data na ushahidi maana ata aliye mtetea Mzee Magufuri amesema alimuona chuo lakini hajasema Darasani, katwambia alimuona akila na wanafunzi huo siyo ushahidi kuwa alipata Degree halali, pia kusema UDSM hawezi kutoa Degree feki ni uongo sugu siyo ushahidi wowote.[

Siku zote husipinge jambo husilolijua kwasababu ya Ushabiki, hao wengine tunajua ni feki, sasa tumruhusu Mtoa hoja atuletee ushahidi alionao sio tumshambulie kwasababu sisi tunatoke kule kwao Magufuri.

Nani alisema kuwa PhD lazima uingie darasani? Labda ueleweshe upya maana ya PhD na jinsi kuipata kabla na wewe hujasutwa kama ulivyomsuta mwenzio.
 
Huku Europe nilipo kutokana na kubana matumizi kama unapenda kupata sample nchini kwako basi unaweza tuma tools for data collections kwa friends na research assistants unaowafahamu watafanya kazi to the standard inayotakiwa na wewe ukaja kufanya analysis na kupublish results sijui na hizo ni fake degree au? Tunachopaswa kukijua PhD is more of a political degree kuliko degree zingine za chini...unaweza ukawa na ubongo kumzidi Newton lakini ukishindwa ku meet politic za anayekusimamia ukaambulia certificate of attendance....Hizi shule ni katika kutusaidia kuleta solutions kwenye problems za maisha so hata kama una vyeti vyenye grade ambayo scale yake bado Academia haijaivumbua kama hiyo hutaweza kui translate in real problem solving inabakia tu kuwa academic exercese which nobody is interested in. Hiyo inakuwa na value kwa watu ambayo wana sense of self denial to their true identity na to cover this weakness wanatamani kuongeza titles mbele ya Identity zao ili kuficha madhaifu yao!

Thanks Felister nilifikiri ni wachache tu wanaojua siri hiyo! Professor wako akibadilika leo una-progress kesho akibadilika unaweza ukawa frustrated na kubwaga manyanga...it is all t about who is supervising you and how strong or influential he is! Also is how you will convince people in one day !people who have never been with you for more than three good years!
 
Nashukuru umenielewa vizuri sana, hoja yangu.

Sasa turudi kwenye thread, tusimshambulie mtoa hoja, tumuombe data na ushahidi maana ata aliye mtetea Mzee Magufuri amesema alimuona chuo lakini hajasema Darasani, katwambia alimuona akila na wanafunzi huo siyo ushahidi kuwa alipata Degree halali, pia kusema UDSM hawezi kutoa Degree feki ni uongo sugu siyo ushahidi wowote.[

Siku zote husipinge jambo husilolijua kwasababu ya Ushabiki, hao wengine tunajua ni feki, sasa tumruhusu Mtoa hoja atuletee ushahidi alionao sio tumshambulie kwasababu sisi tunatoke kule kwao Magufuri.

watu wa CCM kampeni za urais za kuchafuana msilete hapa....mwaka 2015 huko ccm mtu pekee mwenye ubavu wa kusimama na CHADEMA ni dr magufuli....mkilogwa mkimsimamisha mgombea mwingine zaid ya huyo mjuwe CHADEMA watachukuwa nchi.........
Magufuli endelea kuchapa kazi ......wenye degree za bure na za chupi hamuwaoni?
 
Back
Top Bottom