Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 758
watu wa CCM kampeni za urais za kuchafuana msilete hapa....mwaka 2015 huko ccm mtu pekee mwenye ubavu wa kusimama na CHADEMA ni dr magufuli....mkilogwa mkimsimamisha mgombea mwingine zaid ya huyo mjuwe CHADEMA watachukuwa nchi.........
Magufuli endelea kuchapa kazi ......wenye degree za bure na za chupi hamuwaoni?
We ndio bado upo kwenye Usingizi, endelea kulala ukiamka utajua.
Hamna mtu msafi CCM hata mmoja